Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Huyo ni msaliti wa asili, kumbukeni mambo aliyotoka anafanya huko nyuma, kwani hakuisoma hiyo report kabla haijawasilishwa!?Au hakupata bahasha kwenye hicho kikao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni msaliti wa asili, kumbukeni mambo aliyotoka anafanya huko nyuma, kwani hakuisoma hiyo report kabla haijawasilishwa!?Au hakupata bahasha kwenye hicho kikao?
mjumbe kachomoa betriHuyu ni miongoni mwa Wajumbe walioteuliwa na Rais chini ya Rwekaza Mukandala, Anaitwa Haruna Lipumba ambaye ni Mwenyekiti wa CUF.
Jionee mwenyewe
"Mimi nilikuwa mjumbe kwenye mkutano uliofanyika Dodoma na hakuna mjumbe hata mmoja aliyesema mchakato wa katiba usubiri hadi mwaka 2025. Baraza la Uongozi linapinga pendekezo la kikosi kazi juu ya suala hili la katiba mpya kusubiri 2025"
Dar es Salaam. Chama cha Wananchi (CUF) kimemteua Hamad Masoud Hamad kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, akichukua nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Haroub Mohamed Shamis.Huyu ni miongoni mwa Wajumbe walioteuliwa na Rais chini ya Rwekaza Mukandala, Anaitwa Haruna Lipumba ambaye ni Mwenyekiti wa CUF.
Jionee mwenyewe
"Mimi nilikuwa mjumbe kwenye mkutano uliofanyika Dodoma na hakuna mjumbe hata mmoja aliyesema mchakato wa katiba usubiri hadi mwaka 2025. Baraza la Uongozi linapinga pendekezo la kikosi kazi juu ya suala hili la katiba mpya kusubiri 2025"
Lipumba hajawahi kuwa Professor hata siku moja cheo cha juu alichowahi fikia ni Associate Proffesa yaani msaidizi wa Profesa yeye na Huyo anaitwa Proffesa Assad hawajawahi fikia ngapi ya uprofessor wote waliishia kuwa wasaidizi wa maprofesa ila mitaani watu wanawaita ma Proffesa sijui kwa nini wakati vyeo vya juu waliyowahi fikia ni Associate Professor.
Yeye huwa anasema wazi ni baba wa nyumbani. Mke wake anafanya kazi shirika la UN kama sikosei, kitu kama UNESCO.Hivi CV yake inaonyesha uprofesa wake huwa anafundisha chuo gani atu
Kumbe Akina Mkandala walienda kutunga ya kwao?Huyu ni miongoni mwa Wajumbe walioteuliwa na Rais chini ya Rwekaza Mukandala, Anaitwa Haruna Lipumba ambaye ni Mwenyekiti wa CUF.
Jionee mwenyewe
"Mimi nilikuwa mjumbe kwenye mkutano uliofanyika Dodoma na hakuna mjumbe hata mmoja aliyesema mchakato wa katiba usubiri hadi mwaka 2025. Baraza la Uongozi linapinga pendekezo la kikosi kazi juu ya suala hili la katiba mpya kusubiri 2025"
Nchii hii acha tuendelee hivi hivi. Wale ni vikosi kazi vya ccmNikimuona tu hamad rashid najua kunausaaliti hapo.
Eti na yule mpuuzi anayejiita sijui shekhe wa mkoa naye ni miongoni mwa kikosi kazi jamani tz hii
Mpaka na Lipumba kawashtukia🤣🤣Zitto kawauza wenzie kama mafuta ya kula