Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba akiwa Tanga: Nichagueni niwe Rais wa nchi hii ili niweze kutokomeza njaa kwa wote na kuhakikisha lishe bora kwa Wajawazito na Watoto

CUF Habari

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2019
Posts
239
Reaction score
234
IMG-20201009-WA0099.jpg
NICHAGUENI NIWE RAIS WA NCHI HII ILI NIWEZE KUTOKOMEZA NJAA KWA WOTE NA KUHAKIKISHA LISHE BORA KWA WAJAWAZITO NA WATOTO "PROF.LIPUMBA"

TANGA-KOROGWE MJINI

Nitahakikisha kuwa kila mwananchi anakuwa na uwezo au kuwezeshwa kupata milo mitatu kwa siku. Hatua za makusudi zitachukuliwa kuhakikisha kuwa kinamama wajawazito na watoto wachanga wanapata lishe bora itakayowasaidia watoto kujengeka vizuri katika viungo vya mwili, kinga ya mwili na ubongo, ili waweze kushiriki kikamilifu katika kujielimisha na kujiendeleza.
 
Magufuli ndie Rais wa Watanzania na anatakkae endelea kuwa Rais baada kumchagua tena October 28.
 
Pole Sana Professor
Kwenye upinzani haupo
CCM hawakuthamini Tena
Unatia huruma baba
 
Kwani Lipumba naye anagombea urais uchaguzi huu?
 
View attachment 1595003NICHAGUENI NIWE RAIS WA NCHI HII ILI NIWEZE KUTOKOMEZA NJAA KWA WOTE NA KUHAKIKISHA LISHE BORA KWA WAJAWAZITO NA WATOTO "PROF.LIPUMBA"

TANGA-KOROGWE MJINI

Nitahakikisha kuwa kila mwananchi anakuwa na uwezo au kuwezeshwa kupata milo mitatu kwa siku. Hatua za makusudi zitachukuliwa kuhakikisha kuwa kinamama wajawazito na watoto wachanga wanapata lishe bora itakayowasaidia watoto kujengeka vizuri katika viungo vya mwili, kinga ya mwili na ubongo, ili waweze kushiriki kikamilifu katika kujielimisha na kujiendeleza.
Very sorry Professor
Your not in opposition anymore and CCM treated you as toilet paper
After using it throw it away
Unatia huruma masikini
 
View attachment 1595003NICHAGUENI NIWE RAIS WA NCHI HII ILI NIWEZE KUTOKOMEZA NJAA KWA WOTE NA KUHAKIKISHA LISHE BORA KWA WAJAWAZITO NA WATOTO "PROF.LIPUMBA"

TANGA-KOROGWE MJINI

Nitahakikisha kuwa kila mwananchi anakuwa na uwezo au kuwezeshwa kupata milo mitatu kwa siku. Hatua za makusudi zitachukuliwa kuhakikisha kuwa kinamama wajawazito na watoto wachanga wanapata lishe bora itakayowasaidia watoto kujengeka vizuri katika viungo vya mwili, kinga ya mwili na ubongo, ili waweze kushiriki kikamilifu katika kujielimisha na kujiendeleza.
Too late, maji yakishamwagika hayazoleki. Chama cha cuf ulikizika tangia 2015.
 
Pr
View attachment 1595003NICHAGUENI NIWE RAIS WA NCHI HII ILI NIWEZE KUTOKOMEZA NJAA KWA WOTE NA KUHAKIKISHA LISHE BORA KWA WAJAWAZITO NA WATOTO "PROF.LIPUMBA"

TANGA-KOROGWE MJINI

Nitahakikisha kuwa kila mwananchi anakuwa na uwezo au kuwezeshwa kupata milo mitatu kwa siku. Hatua za makusudi zitachukuliwa kuhakikisha kuwa kinamama wajawazito na watoto wachanga wanapata lishe bora itakayowasaidia watoto kujengeka vizuri katika viungo vya mwili, kinga ya mwili na ubongo, ili waweze kushiriki kikamilifu katika kujielimisha na kujiendeleza.
Prof. Sown seeds for his own destruction
 
Naona sasa Mh. Hashim Rungwe ana zidi kueleweka...! Walimbeza lakini sasa hoja yake ina onekana INA mashiko
 
Sana haswa kwa Wana CCM
Watu kama kina Hashim pamoja na Lipumba hoja zao tunazielewa maana hawazungumzii ufisadi wetu
Una weza zungumza popote uendapo, una uwanja mpana wa kuielezea jamii na dunia unacho kifahamu na ukiwa na ushahidi basi utaeleweka zaidi...
 
Hayo mambo utasema ukiwa huru lakini kama haupo huru kuna mambo ni mwiko kusema,,,,,, haswa kwenye nchi za kidikteta
 
Hacha kulalamika... Nani aje akusemee shida zako? Matatizo yako? Kama sio wewe mwenyewe?
 
Mimi sijalalamika ila ukweli kusema kwanza unatakiwa uwe huru
Wewe hujui nchi za kidikteta watu hawaruhusiwi kusema makosa au ufisadi wa serikali?
 
Back
Top Bottom