CUF Habari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 239
- 234
Very sorry ProfessorView attachment 1595003NICHAGUENI NIWE RAIS WA NCHI HII ILI NIWEZE KUTOKOMEZA NJAA KWA WOTE NA KUHAKIKISHA LISHE BORA KWA WAJAWAZITO NA WATOTO "PROF.LIPUMBA"
TANGA-KOROGWE MJINI
Nitahakikisha kuwa kila mwananchi anakuwa na uwezo au kuwezeshwa kupata milo mitatu kwa siku. Hatua za makusudi zitachukuliwa kuhakikisha kuwa kinamama wajawazito na watoto wachanga wanapata lishe bora itakayowasaidia watoto kujengeka vizuri katika viungo vya mwili, kinga ya mwili na ubongo, ili waweze kushiriki kikamilifu katika kujielimisha na kujiendeleza.
Too late, maji yakishamwagika hayazoleki. Chama cha cuf ulikizika tangia 2015.View attachment 1595003NICHAGUENI NIWE RAIS WA NCHI HII ILI NIWEZE KUTOKOMEZA NJAA KWA WOTE NA KUHAKIKISHA LISHE BORA KWA WAJAWAZITO NA WATOTO "PROF.LIPUMBA"
TANGA-KOROGWE MJINI
Nitahakikisha kuwa kila mwananchi anakuwa na uwezo au kuwezeshwa kupata milo mitatu kwa siku. Hatua za makusudi zitachukuliwa kuhakikisha kuwa kinamama wajawazito na watoto wachanga wanapata lishe bora itakayowasaidia watoto kujengeka vizuri katika viungo vya mwili, kinga ya mwili na ubongo, ili waweze kushiriki kikamilifu katika kujielimisha na kujiendeleza.
Prof. Sown seeds for his own destructionView attachment 1595003NICHAGUENI NIWE RAIS WA NCHI HII ILI NIWEZE KUTOKOMEZA NJAA KWA WOTE NA KUHAKIKISHA LISHE BORA KWA WAJAWAZITO NA WATOTO "PROF.LIPUMBA"
TANGA-KOROGWE MJINI
Nitahakikisha kuwa kila mwananchi anakuwa na uwezo au kuwezeshwa kupata milo mitatu kwa siku. Hatua za makusudi zitachukuliwa kuhakikisha kuwa kinamama wajawazito na watoto wachanga wanapata lishe bora itakayowasaidia watoto kujengeka vizuri katika viungo vya mwili, kinga ya mwili na ubongo, ili waweze kushiriki kikamilifu katika kujielimisha na kujiendeleza.
Kwani Lipumba naye anagombea urais uchaguzi huu?
Sana haswa kwa Wana CCMNaona sasa Mh. Hashim Rungwe ana zidi kueleweka...! Walimbeza lakini sasa hoja yake ina onekana INA mashiko
Una weza zungumza popote uendapo, una uwanja mpana wa kuielezea jamii na dunia unacho kifahamu na ukiwa na ushahidi basi utaeleweka zaidi...Sana haswa kwa Wana CCM
Watu kama kina Hashim pamoja na Lipumba hoja zao tunazielewa maana hawazungumzii ufisadi wetu
Hayo mambo utasema ukiwa huru lakini kama haupo huru kuna mambo ni mwiko kusema,,,,,, haswa kwenye nchi za kidiktetaUna weza zungumza popote uendapo, una uwanja mpana wa kuielezea jamii na dunia unacho kifahamu na ukiwa na ushahidi basi utaeleweka zaidi...
Hacha kulalamika... Nani aje akusemee shida zako? Matatizo yako? Kama sio wewe mwenyewe?Hayo mambo utasema ukiwa huru lakini kama haupo huru kuna mambo ni mwiko kusema,,,,,, haswa kwenye nchi za kidikteta
Mimi sijalalamika ila ukweli kusema kwanza unatakiwa uwe huruHacha kulalamika... Nani aje akusemee shida zako? Matatizo yako? Kama sio wewe mwenyewe?