Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba amshukia vikali Tundu Lissu, ahoji kuweka pingamizi kwa wagombea wawili ilhali wote wamefata maelekezo ya Tume

Maelezo yake tu ya mwisho hapa yameshatusaidia kuwa kumbe ni kweli yupo katika 'Payroll' ya CCM na Serikali yake nzima iliyo chini ya Rais JPM.
Ingekuwa Mgombea wa CCM hakuwekewa pingamizi na Lissu, Lipumba angetupiliwa mbali lakini pingamizi limetupwa kwa sababu NEC ingepata wakati mgumu kutupa pingamizi la Mgombea wa CCM pekee mwenye tuhuma nyingi likubalike la kwake mwenye tuhuma moja tu. Ashukuru he is still in the Band Wagon!
 
Umesema kweli kabisa anaongoza kwa kila kitu kati ya wagombea wote wa Urais, ana akili sana, msomi kuliko PhD zile, anajua lugha yetu na ana mvuto hata wa sura wa kufanya watu watake kumwona na kumsikiliza.
 
Mwenyekiti wa chama Cha wananchi (CUF) ambae pia ni mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof Ibrahim Lipumba amesema Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kisipewe madaraka kwani hakina sifa ya wanakuongoza nchi.

Kauli hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa chama icho ikiwa ni siku moja baada ya kuona taarifa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Tundu Lissu kumuekea pingamizi kwa Tume ya uchaguzi (NEC) la kumtaka asigombee kwa kile kichodaiwa amefuata malekezo ya tume hiyo na tume kulitupilia mbali pingamizi hilo.

Amesema kuwa, chama Cha CHADEMA kinapaswa kijitafakari kwa Mgombea waliemsimamisha inawezekana baada ya kupata ajali amepoteza matatizo ya akili kwani hoja alizozitoa tume ya uchaguzi dhidi yake hazina mashiko.

ā€œSisi tunasimama kusimamia Demokrasia lakini Cha ajabu CHADEMA kinaniwekea pingamizi, hii ni dhahiri hoja zangu hawaziwezi kwa nini waniekee pingamizi mimiā€amesema Prof Lipumba.

Ameongeza kuwaā€Kama CHADEMA wapo vizuri katika uchaguzi mkuu basi washindane kwa hoja na sio kuweka pingamizi zisizo na maana kwani hii haijengi demokrasia ya kweliā€amesema

Hata hivyo amesema kuwa, Tundu Lissu amekufa kisiasa hivyo anatafuta sababu ya kiki ili aanze upya katika ulimwengu wa siasa,anaona njia inayofaa ni kuleta taharuki kwa wanachama wa CUF.

Aidha amesema kuwa tume ya uchaguzi ilifanya kazi yake vizuri kwa kuvishirikisha vyama vya siasa kwa kuwaita viongozi wa kwavyama ajili ya kuwapa elimu, na kujadili maadili ya uchaguzi, kutokana na Tundu lissu kutokuepo nchini ndio maana haelewi yanayoendelea Tanzania.

ā€œNaweza kusema Tundu Lissu amekurupuka tu kwani wakati tunapewa semina yeye hakuepo hata hao CHADEMA hawakumshauri ndio maana ameanza kuongea ovyo au baada ya kuumia ndio anatafuta huruma kwa wananchiā€amesema


DarMpya.com
 
Kwa nini asimtumie Mbowe?
Tangu ufahamu kuwa Mbowe kapita na mamayo, dadako wawili na wewe naona habanduki kichwani mwako. Pole sana kwa familia yako. Angalia hata hao binti zako nao watafuata nyayo za Bibi,aunties na mama.
 
Mkuu kuna watu hupaswi kujibizana nao kama kama huyo ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza
 
ā€œNaweza kusema Tundu Lissu amekurupuka tu kwani wakati tunapewa semina yeye hakuepo hata hao CHADEMA hawakumshauri ndio maana ameanza kuongea ovyo au baada ya kuumia ndio anatafuta huruma kwa wananchiā€amesema
Ishu siyo tume kukupa maelekezo, issue nije maelekezo hayo ndivyo sheriainavyotaka?
 
Lisu amefanya makosa sana, kitendo tu cha kumtaja Lipumba kimefanya watu wajue kuwa hata Lipumba anagombea urais.
Mi nilikuwa sijui nani anagombea urais zaidi ya Mheshimiwa Lissu, Jiwe, Dingi ubwabwa Rungwe, Hon Membe. Ndo nnajua hapa kumbe na huyu mzee mwenye kichwa kama kobiro anagombea😃
 
Sawa mzee kwa ushauri wako,hata hivyo Watanzania tulishafanya maamuzi mapema tu ya kutompa kura zetu huyo Tundu Lissu maana ni mnafiki sana na ni shoga, itakuwa maajabu Tanzania leo hii kuongozwa na Rais shoga
 
Lipumba ni sawa na Msoga pengine fisi ndio tu wanaweza usogelea
 
Kwahiyo hiyo hoja yake inaondoa ukweli kwamba maelezo ya tume yalimuingiza chaka profesa mzima. Kwahiyo kwakuwa wengi waliingia chaka ndo alitaka asiwekewe pingamizi. Anatakiwa ajibu kwanini alifuata maelekezo ya tume badala ya sheria na kanuni za uchaguzi mtu msomi kama yeye.
 
Professor Lipumba anadharauliwa na kila mwenye akili timamu kwa kutumiwa na CCM kukihujumu chama alichoshiriki kukijenga. Hawa ndiyo aina ya maprofesa wa kuokotwa majalalani.
 
Huyu Mzee ni Dalali aka kibaraka wa CCM, kamaliza kuiua CUF bila aibu!! sasa kaingia dili kuishambulia CDM - hataweza!! kwanza watanzania hawana la kusikiliza toka kwake - choka mbaya kisiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…