Acha upimbi taga weweKama mzee wa tutashitakiwa MIGA anavyotumiwa na wazungu kueneza ushoga na kuiba radilimali za Tanzania
Unasena lisu huyohuyo anaetumia jelaha lake na kulifanya kuwa kero ya watanzania? Hakuna mwaka chadema wametupa kituko cha mgombea urais kama mwakaaa huuuuu.Lisu amefanya makosa sana, kitendo tu cha kumtaja Lipumba kimefanya watu wajue kuwa hata Lipumba anagombea urais.
Unasena lisu huyohuyo anaetumia jelaha lake na kulifanya kuwa kero ya watanzania? Hakuna mwaka chadema wametupa kituko cha mgombea urais kama mwakaaa huuuuu.
Lipumba wewe ni Profesa! Tundu Lissu alikutumia tu kama scapegoat katika kum- attack Rais Magufuli! You are clever but not intelligent !
Akili yako sio safi ana vijana pia watajisikia vipi wakiona hii post yako![emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Mtajutaaaa kumpitishaaaa huyoo jaama yenuu. Yaaaaniiii anazidiwaa na Hashim rungweee.Lisu hahitaji kura yako boss.
Nadhani alitaka kuonyesha kuwa kuna mahali maelekezo ya Tume yamepindisha sheria. Utakumbuka pia kuwa Tume ilitueleza kuwa wenye kuruhusiwa kuweka pingamizi ni watatu tu yaani Mkurugenzi wa Uchaguzi, Mwanasheria wa serikali, na Msajili wa vyama vya siasa, Tulishangaa kusikia lisu ameweka pingamizi wakati hayumo kati ya hao watatuLipumba wewe ni Profesa! Tundu Lissu alikutumia tu kama scapegoat katika kum- attack Rais Magufuli! You are clever but not intelligent !
Hizo ndio sababu ccm wanatambia kupita nchi nzima bila kupingwa.
Hahaha point mkuuNafikikiri Tahira zaidi atakaeamini Tundu Lissu anaweza shinda uchaguzi
Mwambie mkuuWapo pia wanaozitafuta habari za Lipumba na CUF kwa ujumla kama ambavyo wewe unatafuta habari za Lissu hata pale vyombo vya habari vinapompotezea, huo umoto wa Lissu upo kwa watu wa aina yenu tena humu mitandaoni na ndio maana kutwa mmekuwa mkilaumu vyombo vya habari kwa kumpotezea huyo moto wenu, na hii ni wazi kuwa wanachokifanya vyombo vya habari kina athari na ndio maana mnapiga kelele.
Naona tayari mods wamekula kichwa...wamekuvumilia sana hata hivyoMgombea Urais wa CUF, Prof Lipumba amemshukia vikali Tundu Lissu kwa kumuita mnafiki asiyejua chochote kuhusu Sera, Amani, Maendeleo na Demokrasia ya Nchi yetu.
Prof. Lipumba amehoji sababu za Lissu kumuwekea pingamizi kwenye tume ya uchaguzi eti kisa tu amefuata maelekezo ya tume ya uchaguzi!! Lipumba amehoji asipofuata maelekezo ya tume ya uchaguzi afuate maelekezo ya nani?? Pia amehoji wagombea wote wa urais mwaka huu wamefuata maelekezo ya tume ya uchaguzi akiwemo Membe, iweje awawekee pingamizi wagombea wawili tu?
Hali hiyo imemsikitisha sana Lipumba na kuwaasa watanzania kutokumchagua Lissu kwani ameonyesha udikteta wa kuminya demokrasia mapema sana.
View attachment 1550344
Mbona ana mke tena mke mrembo kweli kweli yuko UMOJA WA MATAIFA sema tu hawaruhusiwi wake zao kujihusisha na siasa kazi ya mkewe ni bora kuliko siasaLipumba aoe kwanza kabla ya kuja kutaka kupambana na Lissu
Mtu hana hata Mke, anatutia wasi wasi
Mtajutaaaa kumpitishaaaa huyoo jaama yenuu. Yaaaaniiii anazidiwaa na Hashim rungweee.
Mbona ana mke tena mke mrembo kweli kweli yuko UMOJA WA MATAIFA sema tu hawaruhusiwi wake zao kujihusisha na siasa kazi ya mkewe ni bora kuliko siasa
Haha hahahaMkuu nimekujibu nikidhani naongea na mtu mwenye akili timamu, sikujua kama ni kiazi wa kiwango hiki. Samahani mkuu, hilo sio kosa lako, bali ni langu la kujichanganya na vilaza.
Ni mchanganyiko wa mke wake na wa umoja wa mataifaSasa huyo ni mke wake au wa umoja wa mataifa?
Tindo, wewe ni muandishi/ mtoa maoni wa kawaida sanaaaaa.
Sipati kitu kipya katika uandishi wako ambao unaweza kunifanya nuone kwanye chama cha Mbowe kuna kitu cha kutamani.
Tanga 1994 tulipofukuzwa wanafunzi UDSM na Chuo kufungwa wakati wa Mzee Mwinyi, nilijiunga Chama cha Mbowe na wakati huo sisi tunaotoka mkoa wa Kilimanjaro ilikuwa fashieni kuwa upinzani. Na nilijitoa kabisa bila kuangalia nyuma mwaka tangu 2011, Nakifahamu vizuri chama cha Mbowe, nawafahamu vizuri washibiki wa Chadomo na mimi binafsi najitambua kikamilifu.
Hamna chama nyinyi, ni mkusanyiko wa mapoyoyo. Na nina hakika yeyote ambae alikuwa mwanachama wa Chadomo na akatoka, mtapata taabu nae sana kumwelewesha.
Nakuonea huruma, unao muda mchafu wa kupoteza. Kuna kelele nyingi sana kutoka Chadomo lakini salamu zetu kutoka Kilimanjaro mtazipokea tarehe 29, October 2020.
Ni Prof Limbumbaf huyooo# Mtaalamu wa uchumiLipumba wewe ni Profesa! Tundu Lissu alikutumia tu kama scapegoat katika kum- attack Rais Magufuli! You are clever but not intelligent !