Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba amshukia vikali Tundu Lissu, ahoji kuweka pingamizi kwa wagombea wawili ilhali wote wamefata maelekezo ya Tume

Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba amshukia vikali Tundu Lissu, ahoji kuweka pingamizi kwa wagombea wawili ilhali wote wamefata maelekezo ya Tume

Kama mzee wa tutashitakiwa MIGA anavyotumiwa na wazungu kueneza ushoga na kuiba radilimali za Tanzania
Acha upimbi taga wewe
tapatalk_1598556537106.jpg
 
Lisu amefanya makosa sana, kitendo tu cha kumtaja Lipumba kimefanya watu wajue kuwa hata Lipumba anagombea urais.
Unasena lisu huyohuyo anaetumia jelaha lake na kulifanya kuwa kero ya watanzania? Hakuna mwaka chadema wametupa kituko cha mgombea urais kama mwakaaa huuuuu.
 
Akili yako sio safi ana vijana pia watajisikia vipi wakiona hii post yako![emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Humu jf inatakiwa utumie akili nyingi ku post taarifa yako utajibiwa kutukana na maelezo yk na haitakuwa kosa
 
Lipumba wewe ni Profesa! Tundu Lissu alikutumia tu kama scapegoat katika kum- attack Rais Magufuli! You are clever but not intelligent !
Nadhani alitaka kuonyesha kuwa kuna mahali maelekezo ya Tume yamepindisha sheria. Utakumbuka pia kuwa Tume ilitueleza kuwa wenye kuruhusiwa kuweka pingamizi ni watatu tu yaani Mkurugenzi wa Uchaguzi, Mwanasheria wa serikali, na Msajili wa vyama vya siasa, Tulishangaa kusikia lisu ameweka pingamizi wakati hayumo kati ya hao watatu
 
Hizo ndio sababu ccm wanatambia kupita nchi nzima bila kupingwa.

Tindo, wewe ni muandishi/ mtoa maoni wa kawaida sanaaaaa.

Sipati kitu kipya katika uandishi wako ambao unaweza kunifanya nuone kwanye chama cha Mbowe kuna kitu cha kutamani.

Tanga 1994 tulipofukuzwa wanafunzi UDSM na Chuo kufungwa wakati wa Mzee Mwinyi, nilijiunga Chama cha Mbowe na wakati huo sisi tunaotoka mkoa wa Kilimanjaro ilikuwa fashieni kuwa upinzani. Na nilijitoa kabisa bila kuangalia nyuma mwaka tangu 2011, Nakifahamu vizuri chama cha Mbowe, nawafahamu vizuri washibiki wa Chadomo na mimi binafsi najitambua kikamilifu.

Hamna chama nyinyi, ni mkusanyiko wa mapoyoyo. Na nina hakika yeyote ambae alikuwa mwanachama wa Chadomo na akatoka, mtapata taabu nae sana kumwelewesha.

Nakuonea huruma, unao muda mchafu wa kupoteza. Kuna kelele nyingi sana kutoka Chadomo lakini salamu zetu kutoka Kilimanjaro mtazipokea tarehe 29, October 2020.
 
Wapo pia wanaozitafuta habari za Lipumba na CUF kwa ujumla kama ambavyo wewe unatafuta habari za Lissu hata pale vyombo vya habari vinapompotezea, huo umoto wa Lissu upo kwa watu wa aina yenu tena humu mitandaoni na ndio maana kutwa mmekuwa mkilaumu vyombo vya habari kwa kumpotezea huyo moto wenu, na hii ni wazi kuwa wanachokifanya vyombo vya habari kina athari na ndio maana mnapiga kelele.
Mwambie mkuu
 
Mgombea Urais wa CUF, Prof Lipumba amemshukia vikali Tundu Lissu kwa kumuita mnafiki asiyejua chochote kuhusu Sera, Amani, Maendeleo na Demokrasia ya Nchi yetu.

Prof. Lipumba amehoji sababu za Lissu kumuwekea pingamizi kwenye tume ya uchaguzi eti kisa tu amefuata maelekezo ya tume ya uchaguzi!! Lipumba amehoji asipofuata maelekezo ya tume ya uchaguzi afuate maelekezo ya nani?? Pia amehoji wagombea wote wa urais mwaka huu wamefuata maelekezo ya tume ya uchaguzi akiwemo Membe, iweje awawekee pingamizi wagombea wawili tu?

Hali hiyo imemsikitisha sana Lipumba na kuwaasa watanzania kutokumchagua Lissu kwani ameonyesha udikteta wa kuminya demokrasia mapema sana.

View attachment 1550344
Naona tayari mods wamekula kichwa...wamekuvumilia sana hata hivyo
 
Lipumba aoe kwanza kabla ya kuja kutaka kupambana na Lissu
Mtu hana hata Mke, anatutia wasi wasi
Mbona ana mke tena mke mrembo kweli kweli yuko UMOJA WA MATAIFA sema tu hawaruhusiwi wake zao kujihusisha na siasa kazi ya mkewe ni bora kuliko siasa
 
Mtajutaaaa kumpitishaaaa huyoo jaama yenuu. Yaaaaniiii anazidiwaa na Hashim rungweee.

Mkuu nimekujibu nikidhani naongea na mtu mwenye akili timamu, sikujua kama ni kiazi wa kiwango hiki. Samahani mkuu, hilo sio kosa lako, bali ni langu la kujichanganya na vilaza.
 
Mbona ana mke tena mke mrembo kweli kweli yuko UMOJA WA MATAIFA sema tu hawaruhusiwi wake zao kujihusisha na siasa kazi ya mkewe ni bora kuliko siasa

Sasa huyo ni mke wake au wa umoja wa mataifa?
 
Tindo, wewe ni muandishi/ mtoa maoni wa kawaida sanaaaaa.

Sipati kitu kipya katika uandishi wako ambao unaweza kunifanya nuone kwanye chama cha Mbowe kuna kitu cha kutamani.

Tanga 1994 tulipofukuzwa wanafunzi UDSM na Chuo kufungwa wakati wa Mzee Mwinyi, nilijiunga Chama cha Mbowe na wakati huo sisi tunaotoka mkoa wa Kilimanjaro ilikuwa fashieni kuwa upinzani. Na nilijitoa kabisa bila kuangalia nyuma mwaka tangu 2011, Nakifahamu vizuri chama cha Mbowe, nawafahamu vizuri washibiki wa Chadomo na mimi binafsi najitambua kikamilifu.

Hamna chama nyinyi, ni mkusanyiko wa mapoyoyo. Na nina hakika yeyote ambae alikuwa mwanachama wa Chadomo na akatoka, mtapata taabu nae sana kumwelewesha.

Nakuonea huruma, unao muda mchafu wa kupoteza. Kuna kelele nyingi sana kutoka Chadomo lakini salamu zetu kutoka Kilimanjaro mtazipokea tarehe 29, October 2020.

Uza ubongo huo maana unakaa nao kwa hasara dogo.
 
Back
Top Bottom