Kapitwa na wakatiApate nafuu Prof upinzani utayumba bila huyu mwamba
"....kupinduka kwa gari pekee, hakukupi sifa ya Kuwa Rais!...." Prof. Lipumba dakika 45 ITVBREAKING: PROF LIPUMBA APATA AJALI "Gari yake imepinduka na imeharibika vibaya..."
Taarifa zaidi zitakujia hivi punde
=======
Mwenyekiti wa CuF, profesa Ibrahim Lipumba amepata ajali eneo la Nangurukuru mkoani Lindi saa moja usiku jana Jumatano baada ya gari alilokuwa anasafiria kupinduka. Ajali hiyo haikuhusisha magari mengine.
Profesa Lipumba alikuwa anatokea Njinjo kuelekea Kivinje kwenye shughuli za chama laini alipofika Nangurukuru gari ilipinduka lakini waliokuwemo ndani ya gari ikiwemo profesa Lipumba walitoka salama.
Naibu mkurugenzi wa haki CUF, Salvatory Madaha alitoka na majeraha madogo
View attachment 2519013
Msaliti wa demokrasia....Najua wengi kimoyo moyo wamewaza aaaanh au basi
😅😅Najua wengi kimoyo moyo wamewaza aaaanh au basi
Kupata ajali ya kupinduka na gari hiyo haikupi sifa ya kuwa rais.BREAKING: PROF LIPUMBA APATA AJALI "Gari yake imepinduka na imeharibika vibaya..."