Prof. Lipumba apata ajali, gari yake yapinduka na kuharibika

Prof. Lipumba apata ajali, gari yake yapinduka na kuharibika

Huyo ameona juzi watu wamempuuza pale Magonenj ndiyo katengeneza hiyo ajali feki ili kupata kiki. Mpuuzi sana
 
Dah Israel anafeli balaa. Sasa ameshindwaje kumtoa kwa knock out huyu fala.
 
Nilidhani kuna visasi?

TL. ni mtu hatari sana, mamluki wake wamejengwa kivisasi visasi kila kitu? wachana na magari!

Hapo hajapata dola....huko mbeleni?

Chagua kwa makini 2025

Pole Profesa.
 
Back
Top Bottom