Prof. Lipumba apata ajali, gari yake yapinduka na kuharibika

Baada ya kumsikiza ITV kipindi cha dk 45: hatungekuwa na chochote cha kupoteza
 
hivi kwa sasa Prof. anafundisha chuo chochote kile
 
Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba amepata ajali hiyo eneo la Nangurukuru baada ya gari yake kupinduka usiku wa kuamkia leo Februari 16, 2023 wakati akitokea Mkoani Lindi.

Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma wa CUF, Injinia Mohamed Ngulangwa amesema “Hakuna madhara makubwa upande wa watu licha ya kuwa gari imeharibika vibaya, haikuwa ajali ya kugongana bali ilipinduka chini juu.”

Chanzo: EA Radio
 
Katika watu ambao hawatumii elimu zao kusaidia nchi, kiranja wao ni huyu.

Nimekumbuka tukio la kuhamia ofsi za chama na kurudi Kwa ubabe CUF mhuuu!

Yaani huwa devalue kabisa uprof wake.

Pamoja na hayo ngoja nikupe haki Yako,

Pole Kwa ajali ila ujue maisha Yana mwisho Mungu anakumumbusha kuwa mambo ya hapa Dunia ni mapito.
 
Pole mzee wetu, ila kwa uliyoyafanya katika medani ya siasa sasa yatosha, ni muda kwa kwako wa kupumzika - waachie chama vijana wapambane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…