Prof. Lipumba apata ajali, gari yake yapinduka na kuharibika

Pole sana profesa. Ni kweli kabisa mtu kupigwa risasi hakumpi sifa yoyote ya ziada ya kuwa Rais wa nchi. Risasi tunaona huko duniani wanapigwa wahalifu kama majambazi, wauaji, mashoga, magaidi n.k haimaanishi wawe marais.
 
NAFSI YANGU

"Katika Zama hizi za marekebisho ya katiba asije akatumiwa vibaya na watu kuratibu maslahi ya hao watu kikatiba"!

"Uandishi wa kitabu ni mgumu sana sio VIZURI kutumika vibaya KWA maslahi ya wachache, jamhuri ndio yenye jukumu la katiba Gani inahitajika KWA MSTAKABALI ujao wa Taifa letu na sio kikundi cha watu fulani !

Wanasiasa wawe makini Sana kipindi hiki wasijejikuta wanapingana na matakwa ya Jamhuri na kuhatarisha HATMA yao ya kisiasa na kiraia nchini!

Mungu ibariki Tanzania nchi yetu niipendayo Sana
 
Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba amepata ajali hiyo eneo la Nangurukuru baada ya gari yake kupinduka usiku wa kuamkia leo Februari 16, 2023 wakati akitokea Mkoani Lindi....
ATAKAYE MKEJELI TUNDU LISSU Lazima YAMKUTE Jiwe yupo wapi? na huyu sasa
 
Ila hiyo gari ya prof ni mbovu sana sidhani kama inafanyiwaga matengenezo mara kwa mara kwa jinsi ninavyoliona huku barabarani.
Poropesa mwenyewe Mbovu anafanana na gari lake,
Ndio wasomi wa tz hawa mweee
 
Hii kwenye picha ni kipara ama ugonjwa alioupata baada ya kupinduka gari[emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…