Prof. Lipumba atoa maelezo ya CAG kuhusu CUF chama cha wananchi

Mwenyekiti wa Cuf Prof Lipumba amesema sh 300m za ruzuku walizihamishia kwenye akaunti binafsi ya mwanachama mwaminifu Omari Muhina ili kuzilinda zisiibiwe pale benki.

Prof Lipumba amesema hayo alipozungumza na waandishi wa habari leo.

Source ITV habari
 
Yaani huyu na Sakaya wameipiga sana cuf
Mhuni tu na fisadi kwani wenye access ya account ya chama si wanajulikana unapelekaje pesa kwenye account binafsi upuuzi

In God we Trust
 
Jamaa wako smart, na wala hamumunyi maneno. Maana walifanya kwa maslahi ya chama.
 
mbona wanatofatiana maelezo na idara ya habar ya CUF, niliona uzi humu ndani wakisema kipindi hicho hawausiki,chama kilikuwa chini ya maalimu seif, au nulielewa vibaya wadau?
 
Kama viongozi wa simba akina Zacharia walishtakiwa na takukuru kwa kosa la kuchepusha fedha za simba na kuziweka kwenye akaunti binafsi ili zisiweze kuchukuliwa na wadeni waliokuwa wanaidai simba. Kwamba walifanya uhujumu na matumizi mabaya ya madaraka
Basi na hao viongozi CUF wachukuliwe hatua kwani kosa walilofanya ni sawa sawa na kosa la kina Zacharia hanspope
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…