Yeye katuhumiwa hadharan kwenye media na yeye anajibu kwenye media
Ikija kwenye mahojiano na Takukuru na yeye atawajibu kwa documents
Hapo kwenye hoja ya CAG hakuna wizi aliotuhumu, kilichokiukw ni control z fedha kitu ambacho sio kosa la jinai ni kosa la kiutendaji tu, ndio sababu CAG kaishia ku report kuwa fedha zilihamishiwa kwenye acoount binafsi hakusema fedha zimeibiwa
Baada ya kuhamishiwa kwny Account binafsi walichofanya ni kuhakikisha kila matumizi yalipata authority and supporting documents hapo mchezo umekwisha, Lipumba mtoto wa Mjini
Sent using
Jamii Forums mobile app