Prof. Lipumba atoa maelezo ya CAG kuhusu CUF chama cha wananchi

Nimejaribu luwaza maneno yale na luyalinganisha na uaomi wake wa uchumi, NAHISI KAMA HAVINA UHUSIANO
 
Professor anayeamini mwanachana ni mwaminifu kuliko benki!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahaa sasa nimemuelewa Prof. walipewa 380, hizo 80 zikanunulia magari, wakaamua kuhamisha mia tatu ili zisiibiwe.
 
Ni zaidi ya mpigaji kama maccm wenzake
Ahaa sasa nimemuelewa Prof. walipewa 380, hizo 80 zikanunulia magari, wakaamua kuhamisha mia tatu ili zisiibiwe.

In God we Trust
 
Hiyo si ni sawa na yaliyowakuta AVEVA na NYANGE KABURU viongozi wa Simba wa zamani

Pale walipohamisha fedha za Uhamisho wa OKWI.

AU Siasa na soka ni tofauti
 
Hizi fedha ndiyo zilisababisha Lipumba na Magdalena Sakaya wakawa wanalala kwenye ofisi ya chama usiku wakawa wanafanya mazoezi ya judo.
 
Najiuliza wazo la Vyama vya siasa kupewa fedha za "ruzuku" mwanzilishi wake duniani alikuwa nani?
Wanasiasa au vyama vyao na watawala au viongozi wa vyama tawala ni makundi yanayogombea na yale yanayoishi kwa jasho la walalahoi.
Ili kupunguza ugomvi, ukawekwa utaratibu wa kuwagawia kidogo wale wenye lengo la kuwaondoa wale walioshikilia mirija kwa wakati huo.
Hata hivyo, utaratibu huu umekubalika na umehalalishwa kisheria (kwa mtazamo wa fikra huru).
 
Maelezo mazuri, siasa ni mradi mzuri sana nchini Tanzania.
P

Ingekuwa CHADEMA chama kikuu cha Upinzani na tishio kwa chama tawala, story hii ingekuwa kubwa sana kwenye media zote. Thank God haya yote yamefanywa na Lipumba na chama kibaraka wa CCM, so it doesn't really matter.

Siku moja haya yote yatapatiwa hukumu yake stahiki.
 
Bado zipo mpaka leo? Acheni uzwazwa Lumumba FC hizo ni kodi zetu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
lipumba ni mwizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye katuhumiwa hadharan kwenye media na yeye anajibu kwenye media

Ikija kwenye mahojiano na Takukuru na yeye atawajibu kwa documents

Hapo kwenye hoja ya CAG hakuna wizi aliotuhumu, kilichokiukw ni control z fedha kitu ambacho sio kosa la jinai ni kosa la kiutendaji tu, ndio sababu CAG kaishia ku report kuwa fedha zilihamishiwa kwenye acoount binafsi hakusema fedha zimeibiwa
Baada ya kuhamishiwa kwny Account binafsi walichofanya ni kuhakikisha kila matumizi yalipata authority and supporting documents hapo mchezo umekwisha, Lipumba mtoto wa Mjini
Nafuu angenyamaza kimya,asubili Takukuru wakati wanamhoji ndipo awajibu,sasa anajibu kwenye vyombo vya habari ,hana hata aibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona wanatofatiana maelezo na idara ya habar ya CUF, niliona uzi humu ndani wakisema kipindi hicho hawausiki,chama kilikuwa chini ya maalimu seif, au nulielewa vibaya wadau?
Yalikuwa ni maoni ya wa Cdm, Cuf walikuwa hawajatoa tamko lolote rasmi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…