Tetesi: Prof Lipumba Kujiuzulu Kupisha chama Kuunda Kamati ya Uongozi

Tetesi: Prof Lipumba Kujiuzulu Kupisha chama Kuunda Kamati ya Uongozi

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,903
Prof Lipumba, amepata mwaliko wa kikazi huko Geneva, Swizerland, kwa miezi 9. Wakati akiwa Geneva, atajiuzulu kupisha chama kuunda kamati ya uongozi.
 
Lipumba moto wa cuf asingeuweza naatalipa gharama. Au waitaka serikal ya magu iunde serikal ya mseto huko zenji
 
We Uliyeandika ndiye LIPUMBA? au sh YAHYA! Mbona kama utabiri..
 
Sidhani kama anaweza kupata ajira nje ya nchi, wameshamuona ni mweupe kabisa kichwani
 
Ataenda na mkewe!!?

Hashindwi kumwachia uenyekiti na polyccm wakamlinda.
 
Imegonga mwamba ndio maana wameamua kumtosa.Hujasikia balozi kapendekeza iundwe Serikali ya Mseto?.Jamaa wameona anawamalizia pesa zao bure.Inahitaji akili ya ziada kupambana na Maalim.

Kweli kuna fununu ya kuundwa serikali ya mseto. Hilo ni shnkzo kutoka jumuiya ya kimataifa.
 
Back
Top Bottom