Tetesi: Prof Lipumba Kujiuzulu Kupisha chama Kuunda Kamati ya Uongozi

Tetesi: Prof Lipumba Kujiuzulu Kupisha chama Kuunda Kamati ya Uongozi

Kama ulimsikiliza jana kwenye press conference yake pale Buguruni then huu ni uzushi kama uzushi mwingine tu.

Kuna haja ya uongozi wa JF kuongeza sheria ya watoa taarifa kama hizi kuweka vyanzo vya taarifa zao siyo hata kina Tom&Jerry wakishiba makande huko wanakuja kuandika chochote huku.
 
Prof Lipumba, amepata mwaliko wa kikazi huko Geneva, Swizerland, kwa miezi 9. Wakati akiwa Geneva, atajiuzulu kupisha chama kuunda kamati ya uongozi.
Mkuu uzushi haukupendezi kabisa.nikiona posts zako huwa natafuta muda wa kusoma angalau sio namna hii
 
Ni kweli atajiuzulu, baada ya miez Tisa ataandika barua ya kutengua kujiuzulu kwake. kila la heri lipumba huko Geneva.
 
Lipumba ndie mwenye chama sio yule madevu
Chama cha CUF kimeundwa kutokana na chama cha Mapalala na Kamahuru na akina Maalim Seif wakitokea jela. Mapalala alikuwa boya tu kukwa kutimiza masharti ya chama kiwe na sura ya muungano. Kimsingi CUF ni ya wazanzibari na hata ukiangalia hata huku bara wale CUF kindakindaki ni wale alau wamekoga maji ya kizanzibari. Huyu madevu ni nani anaedai CUF kuwa ni ya kwake.? Unasumbuliwa na gonjwa la Apedomia
 
Prof Lipumba, amepata mwaliko wa kikazi huko Geneva, Swizerland, kwa miezi 9. Wakati akiwa Geneva, atajiuzulu kupisha chama kuunda kamati ya uongozi.
Napinga vibaya sana , huyu alishajiuzulu kabla ya uchaguzi mkuu , tusubiri maamuzi ya mahakama .
 
Mijitu bwana? eti mambo ya msingi aichangii. mambo ya hovyo na uzushi inashadadia!
 
Prof yupo...huyu anaelala pale kwenye ofisi Za cuf buguruni au?

Sent from mTalk
 
Mimi naamini kwa nguvu zote uwepo wa MWENYEZIMUNGU aliyeumba nchi na mbingu na yeye anayajuwa yaliyo mbele yetu na nyuma yetu.
 
CUF wasikubali hata kama atadai anajiuzulu waendelee na kesi yao hadi mahakama itoe hukumu yake, Lipumba haaminiki tena asije kurudi akadai cheo chake.
 
Back
Top Bottom