Tetesi: Prof Lipumba Kujiuzulu Kupisha chama Kuunda Kamati ya Uongozi

Tetesi: Prof Lipumba Kujiuzulu Kupisha chama Kuunda Kamati ya Uongozi

Aachie chama aache siasa za kijinga kutumika.....

Chama sio Mali ya baba yake au mama yake......

CUF kuna watu wengi wenye uwezo Wa kuwa wenyekiti......

Sio lipumba tu ..........
Mbowe naye aache chama kiongozwe na wengine.Chagadema kuna watu wengi wenye uwezo wa kuwa wenye viti.Aache kutumika.
 
Aachie chama aache siasa za kijinga kutumika.....

Chama sio Mali ya baba yake au mama yake......

CUF kuna watu wengi wenye uwezo Wa kuwa wenyekiti......

Sio lipumba tu ..........

Huuu mchezo, huahitaji hasira!
 
Malim Seif naye apishe damu changa hapo zenji, mpaka karatasi za kura zimemkariri yeye!
 
Prof Lipumba, amepata mwaliko wa kikazi huko Geneva, Swizerland, kwa miezi 9. Wakati akiwa Geneva, atajiuzulu kupisha chama kuunda kamati ya uongozi.
Kaamua kukumbia kijanja baada ya kula pesa za CCM kisha upepo wa ukawa umemlemea sana.
 
Sure
Anajiuzulu kwenye nini! Kama uenyekiti alishajiuzulu, na uanachama alikwisha fukuzwa! Au anajiuzulu uwakala wa CCM!
Sure itakuwa amemaliza kazi aliyotumwa it's a shame kwa kilichofanyika mtwara na lindi last week
 
Lipumba ndie mwenye chama sio yule madevu
madevu ndio mwanamme wasioota ndevu huwa ni majike kama wewe, maalim anawatowa kamasi miaka nenda miaka rudi na mtaitema tuu.
 
ati alikabidhiwa Chama mara TATU !!! Jamaa kule haendi hapa hapa hadi kieleweke!! Yeye ama Maalim!!
 
Aachie chama aache siasa za kijinga kutumika.....

Chama sio Mali ya baba yake au mama yake......

CUF kuna watu wengi wenye uwezo Wa kuwa wenyekiti......

Sio lipumba tu ..........
Dah....kwa hiyo ni mali ya Mamvi? Nauliza tu[emoji13] [emoji13]
 
Back
Top Bottom