Mkuu uzushi haukupendezi kabisa.nikiona posts zako huwa natafuta muda wa kusoma angalau sio namna hiiProf Lipumba, amepata mwaliko wa kikazi huko Geneva, Swizerland, kwa miezi 9. Wakati akiwa Geneva, atajiuzulu kupisha chama kuunda kamati ya uongozi.
Prof Lipumba, amepata mwaliko wa kikazi huko Geneva, Swizerland, kwa miezi 9. Wakati akiwa Geneva, atajiuzulu kupisha chama kuunda kamati ya uongozi.
Nadhani naye alifuatilia malipo pale Lumumba akaambiwa anywe majiπππHuenda wale wafadhili wake wamejitoa.Ruzuku nayo aliyokuwa akiitegemea wajanja wakamuwahi sasa ameamua kubwaga manyanga.
Chama cha CUF kimeundwa kutokana na chama cha Mapalala na Kamahuru na akina Maalim Seif wakitokea jela. Mapalala alikuwa boya tu kukwa kutimiza masharti ya chama kiwe na sura ya muungano. Kimsingi CUF ni ya wazanzibari na hata ukiangalia hata huku bara wale CUF kindakindaki ni wale alau wamekoga maji ya kizanzibari. Huyu madevu ni nani anaedai CUF kuwa ni ya kwake.? Unasumbuliwa na gonjwa la ApedomiaLipumba ndie mwenye chama sio yule madevu
Napinga vibaya sana , huyu alishajiuzulu kabla ya uchaguzi mkuu , tusubiri maamuzi ya mahakama .Prof Lipumba, amepata mwaliko wa kikazi huko Geneva, Swizerland, kwa miezi 9. Wakati akiwa Geneva, atajiuzulu kupisha chama kuunda kamati ya uongozi.
Akirudi anatengua kujiuzulu anarudi ofisini kwake Buguruni..Prof Lipumba, amepata mwaliko wa kikazi huko Geneva, Swizerland, kwa miezi 9. Wakati akiwa Geneva, atajiuzulu kupisha chama kuunda kamati ya uongozi.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Nadhani naye alifuatilia malipo pale Lumumba akaambiwa anywe majiπππ