chipaka.com
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,883
- 1,189
Anajiuzu kwa yule anaemtambua? Sisi cuf hatumtambui siku nyingi,,Prof Lipumba, amepata mwaliko wa kikazi huko Geneva, Swizerland, kwa miezi 9. Wakati akiwa Geneva, atajiuzulu kupisha chama kuunda kamati ya uongozi.
Mbowe naye aache chama kiongozwe na wengine.Chagadema kuna watu wengi wenye uwezo wa kuwa wenye viti.Aache kutumika.Aachie chama aache siasa za kijinga kutumika.....
Chama sio Mali ya baba yake au mama yake......
CUF kuna watu wengi wenye uwezo Wa kuwa wenyekiti......
Sio lipumba tu ..........
Yes upo sawa .....Mbowe naye aache chama kiongozwe na wengine.Chagadema kuna watu wengi wenye uwezo wa kuwa wenye viti.Aache kutumika.
Aachie chama aache siasa za kijinga kutumika.....
Chama sio Mali ya baba yake au mama yake......
CUF kuna watu wengi wenye uwezo Wa kuwa wenyekiti......
Sio lipumba tu ..........
Sidhani kama anaweza kupata ajira nje ya nchi, wameshamuona ni mweupe kabisa kichwani
Kaamua kukumbia kijanja baada ya kula pesa za CCM kisha upepo wa ukawa umemlemea sana.Prof Lipumba, amepata mwaliko wa kikazi huko Geneva, Swizerland, kwa miezi 9. Wakati akiwa Geneva, atajiuzulu kupisha chama kuunda kamati ya uongozi.
Sure itakuwa amemaliza kazi aliyotumwa it's a shame kwa kilichofanyika mtwara na lindi last weekAnajiuzulu kwenye nini! Kama uenyekiti alishajiuzulu, na uanachama alikwisha fukuzwa! Au anajiuzulu uwakala wa CCM!
Ndg zangu Kuna watu wasio kuwa na aibu waliopinda hata wasemwe vipi hawajistukii na BWANA YULE ndiye kiongozi waoKweli kuna fununu ya kuundwa serikali ya mseto. Hilo ni shnkzo kutoka jumuiya ya kimataifa.
madevu ndio mwanamme wasioota ndevu huwa ni majike kama wewe, maalim anawatowa kamasi miaka nenda miaka rudi na mtaitema tuu.Lipumba ndie mwenye chama sio yule madevu
Dah....kwa hiyo ni mali ya Mamvi? Nauliza tu[emoji13] [emoji13]Aachie chama aache siasa za kijinga kutumika.....
Chama sio Mali ya baba yake au mama yake......
CUF kuna watu wengi wenye uwezo Wa kuwa wenyekiti......
Sio lipumba tu ..........