Prof. Lipumba: Kuna vyama vina sera za kutongoza mademu

Hivi 'dame' ni hawara!?
Dame ni neno tofauti na demu.

Usilete uzungu hapa wewe umekulia kwa Manyanya huko halafu unatuletea hicho kizungu cha mwalimu wako mnywa gongo!

Wabongo bhana. Muone anavyojishaua
 
Poleame ni neno tofauti na demu.
Usilete uzungu hapa wewe umekulia kwa Manyanya huko halafu unatuletea hicho kizungu cha mwalimu wako mnywa gongo!

Wabongo bhana. Muone anavyojishaua
Pole Sana kwa kupotoka....na povu lako si mchezo
 
Huyu amekosa mvuto kabisa sasa anatafuta attention kwa kudandia matukio kwa mbele
 
Hapa pro anajiangusha kwa kuanzisha ugomvi na mpinzani mwenzake!
 
Sera ya kutongoza mademu ndo ipi na ni vyama gani vinaitangaza?
 
Alienda shule ila hakuelimika
Distinguished Professor anaongelea sentensi ya rejareja jukwaani anaita sera.

Usihadaike na akili za darasani mkuu,
Ukiambiwa alikuwaga Tanzania One form six na GPA ya 5 UDSM na Masters alisoma Stanford university hawez amini.
 
Nutty Professor
 
Ukishafika ngazi flani ili kulinda heshima yako kuna maeneo flani wala hautakiwi kuonekana na ndio maana wateule wa rais hauwezi kuwaona maeneo flaniflani ya burudani hata kama unayependa vp, mhe rais akipata taarifa kuwa huwa unaenda disco lazima akutengue tu.Sasa na prof. naye anaangukia humohumo.
 
Takataka nyingine hii toka jalalani
 
Ni kweli, ACT - Wazalendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…