Teh teh teh πππ CDM ndio sura ya upinzani hapa Tz kwa Sasa.
Unakumbuka CUF ngangari ya miaka ya 2000 mwanzoni yaani '2000's...ilivyopambana na Ccm (hasa Zanzibar) pamoja na dola (Mahita) jinsi nguvu kubwa ya dola ilivyotumika kuwakandamiza ila haikuweza kuwamaliza.....ila matukio yaliyofuata na mpasuko uliowakumba ulioletwa na Lipumba na genge lake (japo wengine ulichochewa kutoka nje ya CUF) kwa Sasa imebaki historia tu...
Namna CDM ilivyoweza kuhimili ukandamizaji na ubabe wa Magufuli na bado mpaka Sasa wapo(japo wengine walifika bei) inashangaza Sana.