Mateo Kovasic
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 420
- 334
Hivi Kuna mtu mwenye akili timamu Bado anaisikiliza hii takataka?
Wewe mwenyewe hapo ushamsikiliza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Kuna mtu mwenye akili timamu Bado anaisikiliza hii takataka?
Profesa njaa huyu...Professor mzima hajui maana ya Sera? Seriously?
Teh teh teh 😂😂😂 CDM ndio sura ya upinzani hapa Tz kwa Sasa.Ila CHADEMA inapambana na vyama vyote. Juzi alikuwa Selasini anamnanga Mbowe na leo ni Lipumba Tena.
Propesa tapeliMwizi mkubwa. Ulidanganywa uka uza utu wako. Bora watingoza mademu wenye msimamo kuliko wewe mnafiki ulie uza hadhi na utu wako ili kuua upinzani