Prof. Lipumba: Kuna vyama vina sera za kutongoza mademu

Prof. Lipumba: Kuna vyama vina sera za kutongoza mademu

Mwizi mkubwa. Ulidanganywa uka uza utu wako. Bora watingoza mademu wenye msimamo kuliko wewe mnafiki ulie uza hadhi na utu wako ili kuua upinzani
Mkuu si utumie lugha ya staha kidogo- au umeshindikana
 
Mwambieni profesa kuwa mtu akishakuwa demu hatongozwi tena. Anayetongozwa ni yule ambaye siyo demu. Hawara hatongozwi.
Tumwambie Prof. au Mbowe aliyesema?
 
Uzuri cku hz cuf imebakia ukanda wa pwani tu...utawasikia wako Tanga , lindi , dar na mtwara tu ... Mikoa ya huku bara walishaga jiondokea na ndivyo hata Act wazalendo nao huku bara wamesha sambaratika tayari, Act wazalendo kwa sasa nayo inafuata nyayo za cuf ..utawaona wanafanya ziara zao Namtumbo, mtwara, lindi Tanga na dar es salaam basi ...[emoji23][emoji23][emoji23] Lipumba yy anaona ni bora apambane na chadema kuliko ccm ... Maana ccm ni mwajiri wake

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Ila CHADEMA inapambana na vyama vyote. Juzi alikuwa Selasini anamnanga Mbowe na leo ni Lipumba Tena.
 
Lipumba ni Profesa uchwara Bora hata yule wa jalalani huyu ni wa chooni kabisa yaani ni Profesa mavi
 
Prof. Lipumba: Hitimisho, baraza kuu linatoa wito kwa watanzania pamoja na waandishi wa habari kujiunga na chama cha CUF chenye lengo ...
Kwani wanasiasa hawatakiw kutongoza au kutafuna madem? Au ukiwa mwanasiasa zaga halisimami tena? Huyu dingi vp asee 🤣🤣🤣
 
Kwani wanasiasa hawatakiw kutongoza au kutafuna madem? Au ukiwa mwanasiasa zaga halisimami tena? Huyu dingi vp asee 🤣🤣🤣
Hajakataa isipokuwa anashanga mademu kuwa sera
 
Distinguished Professor anaongelea sentensi ya rejareja jukwaani anaita sera.

Usihadaike na akili za darasani mkuu,
Ukiambiwa alikuwaga Tanzania One form six na GPA ya 5 UDSM na Masters alisoma Stanford university hawez amini.
Mwisho wa siku akaja kujifungia ofisini Bugurani wiki mzima akipambana na Maalim Seif enzi hizo za mwendazake. Just imagine!
 
Pamoja na Uswahili wake lakini Prof Lipumba ni mtu makini sana

Kwa kawaida hanaga maneno mengi na hafuati mkumbo

Sisi wengine tumemuelewa sana alivyotofautisha Sera za Chama chake na mtazamo wa Chadema

Wananchi wanataka Haki na Maendeleo

Jumaa kareem!
 
Prof. Lipumba: Hitimisho, baraza kuu linatoa wito kwa watanzania pamoja na waandishi wa habari kujiunga na chama cha CUF chenye lengo la kujenga nchi yenye haki sawa na furaha kwa wananchi wote...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣sera za kutongoza mademu
 
Back
Top Bottom