Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,891
- 8,448
Lisu au Lipumba?Badala ya kuzungumzia Inflation yeye anazungumzia risasi
Huyu mzee kwishney sema tu yule mkewe mchagga anamlisha!
So mchaga aliona fursa ikabidi ajiweke kwa professor. Hawa jamaa hawachelewagi kwa fursa ujue. Kama waale vijana marangu wameua mstaafu na kumbaka ili awape kadi ya benki ,Kuna mwingine alikodia majambazi mmewe akauliwa dumila morogoroBadala ya kuzungumzia Inflation yeye anazungumzia risasi
Huyu mzee kwishney sema tu yule mkewe mchagga anamlisha!
HahahahhaSo mchaga aliona fursa ikabidi ajiweke kwa professor. Hawa jamaa hawachelewagi kwa fursa ujue. Kama waale vijana marangu wameua mstaafu na kumbaka ili awape kadi ya benki ,Kuna mwingine alikodia majambazi mmewe akauliwa dumila morogoro
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣daaah aisee leo nimecheka sanaLipumba mdomo wake tu unamaliza yote kabla ya kumdadavua...
Nimewahi kaa nae kwenye halfa fulani ni mlafi na mroho kupindukia hutaamini kama ni profesa mwenye uwezo wa kununua aina hiyo ya chakula
Muda wote hula kwa pupa huku ulimi wake ukicheza cheza mithili ya ulimi wa chatu na hurusha mate na kupepesa mdomo na macho mithili ya mamba!!
Hii tabia ya kilafi imeathiri maisha yake sana kiasi cha kukosa msimamo na hupatwa na fadhaa kubwa mbele ya pesa au chakula...
Lipumba ni Disgrace katika nchi hii.
Anasema au anajibu baada ya kuulizwa?Bora kamkumbusha. Maana kutwa nzima ye anaimba risasi tu.
Huyu chiba ataimba risasi hadi siku anakufa.Bora kamkumbusha. Maana kutwa nzima ye anaimba risasi tu.
Na weye unashabikia upuuzi?Uliwahi hata kujikata kidole kwa wembe?Ulijisikiaje?Huyu chiba ataimba risasi hadi siku anakufa.
Kujikata kidole kunaingiaje hapa? Huo ni mfano mfu.Na weye unashabikia upuuzi?Uliwahi hata kujikata kidole kwa wembe?Ulijisikiaje?
Dereva wa Lisu ndiyo muhusika namba 1Ukiambiwa wewe punguani utabisha? lisu aliposema sabaya ni jambazi ulisema alete ushahidi wakati tayari ulishapelekwa mahakamani
lisu akisema magufuli anahusika na shambulio lake unabisha
akisema lipumba kuhusu lisu haraka unatoka jikoni kuja kuaktika mauno humu
Dereva wa Lisu amejificha zaidi ya pumbumpuuzi wewe dereva wa lisu amuue lisu ili apate nn? mtu unakula nae chakula umpige risasi? si angemuwekea sumu tu yakaisha? mjinga sana wewe jamaa
na ben sanane, anzory gwanda nao waliuwa na dereva wa lisu?