Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,891
- 8,448
- Thread starter
- #21
Hakika mkuuHapa nakubaliana na prof kwa mara ya kwanza. Amenena. Tundu hana sifa hata moja ya kuwa hata kiongozi wa nyumba kumi. Hajatulia na anakurupuka. Sasa ndo amechanganyikiwa kabisa. Sijui ni hizo risasi.