Prof. Lipumba: Kupigwa risasi haikuongezei sifa ya kuwa Rais wa Tanzania

Prof. Lipumba: Kupigwa risasi haikuongezei sifa ya kuwa Rais wa Tanzania

Huyu mzee aachane na siasa kwani hana impact yoyote kwa sasa, ndo maana mzee makamba aliwahi kumpiga kijembe kwamba kapauka kama shati.
 
Huyo chiba wako ana maumivu gani?

Punguza dhihaka. Huna ubinadamu?. Kisa Lissu ni CHADEMA unaona furaha alivyofanyiwa?. Aliyetoa pesa za kukodi ndege kwenda kumpeleka Lissu Nairobi alikuwa mwana CCM asiyeendekeza uchama Kama.
 
Mbona hata uyo tundu wako bila kumtaja Magu anadhani hatasikilizwa.

Magu gani anamtaja? Anamtaja Magu maana ndio Mastermind kwa kushambuliwa kwake. Bahati nzuri muuaji mkuu kafa yeye Lissu kabaki.
 
Lipumba mdomo wake tu unamaliza yote kabla ya kumdadavua...

Nimewahi kaa nae kwenye halfa fulani ni mlafi na mroho kupindukia hutaamini kama ni profesa mwenye uwezo wa kununua aina hiyo ya chakula

Muda wote hula kwa pupa huku ulimi wake ukicheza cheza mithili ya ulimi wa chatu na hurusha mate na kupepesa mdomo na macho mithili ya mamba!!

Hii tabia ya kilafi imeathiri maisha yake sana kiasi cha kukosa msimamo na hupatwa na fadhaa kubwa mbele ya pesa au chakula...

Lipumba ni Disgrace katika nchi hii.
Hana Mke na huwa anaogopa asiposhiba kwenye hiyo shughuli hatakuta chakula Tena nyumbani, poor fellow
 
yuko sahihi kila mmoja wetu akiongelea madhira aliyopta aonewe huruma litakuwa taifa lakuoneana huruma watanzania wana njaa wanatokaje kwenye shida hii wanahitaji mwongozo

Seema mnaona aibu Lissu kapona , mengine ni kujikosha tu. Lissu alipopigwa risasi ilikuwa big news, leo mnataka iwe habari ya kawaida. Wewe Kama una madhira na wewe kayaseme Kama utasikilizwa.
 
Magu gani anamtaja? Anamtaja Magu maana ndio Mastermind kwa kushambuliwa kwake. Bahati nzuri muuaji mkuu kafa yeye Lissu kabaki.
Sema katangulia, kwenye kifo hakuna kubaki, kila mmoja ataondoka tu.

Niujinga kushupaza shingo kupambana na Marehemu.

Mtu ambae hawezi ku exist infinity, na hawezi kujitetea kama lisemwalo ni kweli ama uwongo.

Watu wanataka kusikia sera na mipango Ili waamini uwezo wamtu katika kutatua matatizo mbalimbali.

Kulialia hovyo niudhaifu, tabia za kulialia wanazo wakina mama na watoto wakiume.
 
Huu ni uchakubimbi,ni tabia za wanawake wasio na kazi

Wewe ndio chakubimbi , unamuona profess was maana kimzungumzia Lissu Ila mwingine kumwelezea lipumba unamuona chakubimbi. Punguza unafiki.
 
Sema katangulia, kwenye kifo hakuna kubaki, kila mmoja ataondoka tu.

Niujinga kushupaza shingo kupambana na Marehemu.

Mtu ambae hawezi ku exist infinity, na hawezi kujitetea kama lisemwalo ni kweli ama uwongo.

Watu wanataka kusikia sera na mipango Ili waamini uwezo wamtu katika kutatua matatizo mbalimbali.

Kulialia hovyo niudhaifu, tabia za kulialia wanazo wakina mama na watoto wakiume.

Umarehemu haumuondolei ujinga wa kumshambulia Lissu.
 
Back
Top Bottom