Prof. Lipumba: Kupigwa risasi haikuongezei sifa ya kuwa Rais wa Tanzania

Prof. Lipumba: Kupigwa risasi haikuongezei sifa ya kuwa Rais wa Tanzania

Lipumba mdomo wake tu unamaliza yote kabla ya kumdadavua.

Nimewahi kaa nae kwenye halfa fulani ni mlafi na mroho kupindukia hutaamini kama ni profesa mwenye uwezo wa kununua aina hiyo ya chakula.

Muda wote hula kwa pupa huku ulimi wake ukicheza cheza mithili ya ulimi wa chatu na hurusha mate na kupepesa mdomo na macho mithili ya mamba!

Hii tabia ya kilafi imeathiri maisha yake sana kiasi cha kukosa msimamo na hupatwa na fadhaa kubwa mbele ya pesa au chakula.

Lipumba ni Disgrace katika nchi hii.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hii ni zaidi vayolensi khaaaa
 
Wewe. Ni bonge la juha,Rostam aziz ni mkristo?, jakaya kikwete ni mkristo?,ucha ufala wewe,
Kaka hapa anazungumziwa Lipumba, ukitata niwataje na hao anzisha mada zao, jifunze kuto kutoka nje ya mada pimbi wewe
 
Hapa nakubaliana na prof kwa mara ya kwanza. Amenena. Tundu hana sifa hata moja ya kuwa hata kiongozi wa nyumba kumi. Hajatulia na anakurupuka. Sasa ndo amechanganyikiwa kabisa. Sijui ni hizo risasi.
Hata Mandela alisimulia madhila aliyopata kule Robben Island gerezani.Ni sehemu ya mapambano.Ni ishara ya mhanga aliyekuwa mstari wa mbele katika kupambana na dikteta.maelezo yake yanahamasisha tusiwe waoga tuwe tayari kumkabili dikteta
 
Lipumba mdomo wake tu unamaliza yote kabla ya kumdadavua.

Nimewahi kaa nae kwenye halfa fulani ni mlafi na mroho kupindukia hutaamini kama ni profesa mwenye uwezo wa kununua aina hiyo ya chakula.

Muda wote hula kwa pupa huku ulimi wake ukicheza cheza mithili ya ulimi wa chatu na hurusha mate na kupepesa mdomo na macho mithili ya mamba!

Hii tabia ya kilafi imeathiri maisha yake sana kiasi cha kukosa msimamo na hupatwa na fadhaa kubwa mbele ya pesa au chakula.

Lipumba ni Disgrace katika nchi hii.
🤣🤣🤣Daah hii ni personal attack mkuu.........
 
Mchumi, ilikuwa ni jukwaa sahihi la kuonyesha umwamba wake kwenye kuuchambua uchumi ila inasikitisha kuona anaongea vihoja,japo ni siasa ila watanzania wa sasa si wajinga tena kusikiliza taarabu wakati hajui atakula nini.........
 
Kisa tu kamsema huyo shoga?, ujinga kweli ni mzigo,
Hilo kamuulize makamba wee kiazi, maana ndo alimpiga kijiembe kwamba kapauka kama shati.....kwa maana nyingine hayuko relevant, labda kama anatafuta nauli ya kurudi rwanda.
 
Back
Top Bottom