Prof. Lipumba: Kupigwa risasi haikuongezei sifa ya kuwa Rais wa Tanzania

Prof. Lipumba: Kupigwa risasi haikuongezei sifa ya kuwa Rais wa Tanzania

Ukiambiwa wewe punguani utabisha? lisu aliposema sabaya ni jambazi ulisema alete ushahidi wakati tayari ulishapelekwa mahakamani

lisu akisema magufuli anahusika na shambulio lake unabisha, akisema lipumba kuhusu lisu haraka unatoka jikoni kuja kuaktika mauno humu
Kuna watu hawataki Lissu aeleze story yake. Hawataki kusikia kabisa hilo swala as if halikutokea .... Sasa huyu Propesa LIPUMBA alitaka Lissu asiwaeleze wananchi wake kilichotokea. Kama hataki kusikia basi asisikilize ....!!
 
Lipumba alifichwa nchi jirani na watu wa chama Fulani wakati wa uchaguzi Mkuu wa mwaka Fulani akiwa na vijana wa mkubwa Fulani.
Alifanya hivyo ili kupunguza nguvu za umoja Fulani wa vyama pinzani.
 
mpuuzi wewe dereva wa lisu amuue lisu ili apate nn? mtu unakula nae chakula umpige risasi? si angemuwekea sumu tu yakaisha? mjinga sana wewe jamaa
na ben sanane, anzory gwanda nao waliuwa na dereva wa lisu?
GT mwenzangu Kuna majina mengine yanasadifu akili ya mtu! Kubishana na Hawa empty headed Ni kupoteza muda! Ndio Mana sehemu yao sahihi Ni Facebook Mana hata kwa takwimu za TCRA Ina watumiaji wengi inabeba kuanzia maprofesa mpaka beki tatu nyumbani ukiacha wapiga debe!
 
Lipumba mdomo wake tu unamaliza yote kabla ya kumdadavua.

Nimewahi kaa nae kwenye halfa fulani ni mlafi na mroho kupindukia hutaamini kama ni profesa mwenye uwezo wa kununua aina hiyo ya chakula.

Muda wote hula kwa pupa huku ulimi wake ukicheza cheza mithili ya ulimi wa chatu na hurusha mate na kupepesa mdomo na macho mithili ya mamba!

Hii tabia ya kilafi imeathiri maisha yake sana kiasi cha kukosa msimamo na hupatwa na fadhaa kubwa mbele ya pesa au chakula.

Lipumba ni Disgrace katika nchi hii.
Sio hoja ya msingi
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23]
 
Lipumba mdomo wake tu unamaliza yote kabla ya kumdadavua.

Nimewahi kaa nae kwenye halfa fulani ni mlafi na mroho kupindukia hutaamini kama ni profesa mwenye uwezo wa kununua aina hiyo ya chakula.

Muda wote hula kwa pupa huku ulimi wake ukicheza cheza mithili ya ulimi wa chatu na hurusha mate na kupepesa mdomo na macho mithili ya mamba!

Hii tabia ya kilafi imeathiri maisha yake sana kiasi cha kukosa msimamo na hupatwa na fadhaa kubwa mbele ya pesa au chakula.

Lipumba ni Disgrace katika nchi hii.
Pale kwao mwananyamala husifika kwa kupenda ubeche, Tena watu wazima huongoza.Wanapenda ubwabwa wa sjughuli ka watoto
 
Nilisikia kinyaa sana!! Halafu muda wote anawatolea macho vibaya sana wanaopakua utafikiri kaandaliwa peke yake...

Mwangalie hata ongea yake mdomo wake saa zote unacheza cheza tu kama wa mamba anaevizia windo
Kupigwa risasi kunaweza kuwa kigezo cha Lissu kupewa urais? Kama sio, Lipumba kakosea wapi?

Sasa wewe badala ya kujadili hoja yake, umekalia kukosoa ulaji wake, una akili kweli wewe?
 
Watanzania tuondoe ujinga wa vyama. Tunachekana kwenye shida kisa vyama tofauti. Yani unashabikia ujinga kisa Lissu sio CCM?. Dereva anakuaje mshukiwa? Mnaacha kuwasaka wahusika mmebakiza stori. Sawa.
Ndipo mazingira yetu ya kisiasa yalipofikia. Huu uzi ni ushuhuda kuwa kuna watu WANAOUGUA maumivu makali kuhusu Lissu KUTOFARIKI baada ya zile risasi.

Hawa watu kwao Magufuli alikuwa mungu au malaika. He was always right in every deed and decision. Kwamba hakufanikisha mauaji ya Lissu na baadaye akaugua na kufa huku Lissu akiinuka na uzima kamili (like a phoenix) akiwa na akili zake timamu, same intelligence, na haiba ile ile tena akiendeleza mashambulizi katika jukwaa la siasa kwa nguvu moja… ni maumivu makubwa sana kwao!

Ndio sababu hawapendi kabisa kusikia habari ya tukio hilo la Lissu. Kwao he would have been better dead and buried that same day. Wangesherehekea Magufuli kumuondoa “msaliti” kwenye uso wa dunia! Can you imagine? Wana allergy hata na neno “risasi”. Sasa pengine Lissu asiulizwe na media habari za tukio lile au akiulizwa akatae kujibu ili aepuke kutaja neno hilo.

Utawala wa Magufuli umenithibitishia kitu kimoja nilichokuwa nawaambia jamaa zangu tangu nikiwa sekondari. Kwamba hata Tanzania tunao watu wakatili sana. Ni fursa na mazingira tu hayajawakalia sawa. We’re not unique. Km nilishangaa sana kumsikia mtu niliyemheshimu sana kama Dr Slaa akisema hakuna cha ajabu Lissu kupigwa risasi; kwamba Marekani watu wanapigwa risasi kila siku na maisha yanaendelea!

Zamani tulikuwa tunashangaa sana ukatili wa wajerumani enzi za NAZI, pia huko Afrika ya Kati, enzi za Bokassa, Congo ya Mobutu, Togo ya Eyadema, Rwanda, n.k. Siku hizi uhalisia uko mlangoni petu wenyewe. Hakuna cha kushangaa. Nchi ya amani? That’s pure BS!

Majuzi nililetewa video ya kikundi cha wapiganaji Sudan ya Kusini wakikata miguu na mikono ya mateka wao walio hai kwa mapanga! (a serious war crime). Wote vijana wadogo tu lakini wameshakuwa mashetani kamili. Kwa propaganda hatarishi za watawala zinazoendelea hapa nchini karibu sana tutafika huko.
 
Professor Lipumba!
Ni wakati anajibu maswali mbalimbali ya waandishi wa habari amemlipua Tundu Lisu kuwa ajue kupigwa risasi siyo sifa ya kukufanya uchaguliwe kuwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Prof Lipumba amesema kwenye sifa za mtu kuwa Rais wa Tanzania kupigwa risasi haipo, hivyo Lisu angeendeleza sera za kuwaunganisha watanzania na kuwaletea maendeleo na siyo kuimba kupigwa risasi kila siku..

Nimeileta kama bilivyo ikuta huko YOUTUBE!

Kwa hiyo povu lisinihusu mimi!
 
Leo umepata bando la kupost vitu ambavyo vimesha postiwa humu?

Professor Lipumba!
Ni wakati anajibu maswali mbalimbali ya waandishi wa habari amemlipua Tundu Lisu kuwa ajue kupigwa risasi siyo sifa ya kukufanya uchaguliwe kuwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Prof Lipumba amesema kwenye sifa za mtu kuwa Rais wa Tanzania kupigwa risasi haipo, hivyo Lisu angeendeleza sera za kuwaunganisha watanzania na kuwaletea maendeleo na siyo kuimba kupigwa risasi kila siku.*

Porapesa Lipumbu fedha za ruzuku ya CUF ile ya marehemu Maalim Seif amechangangikiwa
He is totally irelevant
 
Hapa nakubaliana na prof kwa mara ya kwanza. Amenena. Tundu hana sifa hata moja ya kuwa hata kiongozi wa nyumba kumi. Hajatulia na anakurupuka. Sasa ndo amechanganyikiwa kabisa. Sijui ni hizo risasi.
Kati yako na Lipumba nani aliyewahi kuwa hata diwani na Lipumba wako alipata asilimia ngapi katika kujifaragua kugombea urais?.
Wakati mwingine si lazima uchangie hata kupitia nyuzi za wenzio inatosha.
 
Back
Top Bottom