Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba: Kura sio siri tena

Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba: Kura sio siri tena

Prof. Lipumba ameibua hoja nzito kuhusu USIRI WA KURA kwenye Uchaguzi huu.

Akihojiwa na ITV mchana huu amesema ameshtushwa na Makarani ambao walikuwa wakinakiri namba za KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA kwene Karatasi ya MPIGA KURA..
#Kurasiosiri: Prof.Lipumba ni kiongozi maarufu sana katika siasa za Tanzania, kila mara walikuwa wakilalamikia watu kuzuiwa kupiga kura kwa sababu mbalimbali hivyo kukosa haki yao ya kikatiba.

Pamoja na mambo mengine ilikuwa ikilalamikiwa pia kuara maruhani au pandikizi na kwa kuwa namba za kila mpiga kura ilikuwa hainakiriwi kwenye karatasi na shina lake ilikuwa inaleta changamoto kuthibitisha madai hayo endapo upande mmoja haukuridhika na matokeo hivyo kukata rufaa kwa madai ya udanganyifu;

suala hilo kwa sasa lina suluhisho maana endapo mtu atadai hakupiga kura lakini pia ili ulali wa idadi ya wapiga kura ilipangwa kwenye kila kituo ijulikane kwa kulinganisha na mahudhurio ni rahisi kurejea kwenye karatasi hizo za kura kuthibitisha hivyo kuzuia udanganyifu.
 
Yaani wapinzani wa nchi hii bogus kabisa! Kuna mwingine Mbeya anajiita Sugu, alivyokuta tume imejipanga vizuri hakuna changamoto, alivyoulizwa changamoto aliziona eti "vyumba vya kupigia kura ni vidogo sana havina hewa, akaenda mbali na kusema, wasimamizi wakitoka hapo wakanywe maziwa" yaani watu wa hivi kuwapeleka bungeni no kupoteza kodi zetu bure tu! Na tunawapiga kipigo kitakatifu, kura zote kwa CCM.
Wewe unaona vyumba kuwa vidogo sio tatizo...
Unajua wewe jamaa ni fala sana....
 
Mmi nimepiga kura asb hii na hicho kitu hakijatokea kwangu. Mhe unanitia shaka kwa maelezo yako haya!!!View attachment 1614664
ɓila shaƙa hauƙuwa maƙini na ƙura ƴaƙo ndio maana huƙuliona hilo ,Maana ƙila sehemu wanareƙoɗ ƙwanza namɓa za ID ƴaƙo ƙwanza then ndo wanaƙupatia ƙaratasi hizo....ɓila shaka hauƙulichuƙulia manaani laƙini huƙupasw Ƙuɓisha ili hali ƙila alipiga ƙura leo ƙafanƴiwA icho ƙitu pia😄😄😄
 
ɓila shaƙa hauƙuwa maƙini na ƙura ƴaƙo ndio maana huƙuliona hilo ,Maana ƙila sehemu wanareƙoɗ ƙwanza namɓa za ID ƴaƙo ƙwanza then ndo wanaƙupatia ƙaratasi hizo....ɓila shaka hauƙulichuƙulia manaani laƙini huƙupasw Ƙuɓisha ili hali ƙila alipiga ƙura leo ƙafanƴiwA icho ƙitu pia😄😄😄
Ali lala huyo, au kapigiwa kura huyo
 
Huu uchaguzi ni upuuzi kama upuuzi mwingine, na ndio maana watanzania wengi wamepuuza zoezi zima. Idadi ya wapiga kura ni ndogo kuliko maelezo kwenye vituo. Mambo kama hayo nani yuko tayari kwenda kushiriki huo upuuzi?
Naona mnaanza kutunga stories. Umetembelea vituo gani, nilipo ushiriki ni mkubwa mnoo
 
Aache uongo! Namba ya kadi inaandikwa kwenye kibutu tu! Karatasi ya kura haina sehemu ya kuandika namba ya kadi, anayefanya hivyo anakiuka sheria
Serial number ya kwenye kibutu sawa ya kwenye ya kupigia kura hivyo ku trace ni rahisi
 
Anazeeka vibaya, namba inaandikwa pale juu ndio lakini baadae inapochanwa karatasi ili upewe ukapige kura, ile namba inabaki kwenye kitabu haitoki na karatasi.
ile karatasi uliyopigia ina serial number ambayo inafanana na kibutu,kwa hiyo wakiirudisha kwenye kibutu wanakuta namba ya kadi yako kwenye kibutu
 
Video ikionesha Kura feki huu uchaguzi umeshaharibika
 
Aache uwongo.nambaya kadi inaandikwa kwenye kibutu cha karatasiya mpiga kura .ile inayotumika kumchagua mgombea haina namba yeyote.
 
Back
Top Bottom