Afande Tanzania
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 460
- 1,169
CHADEMA tulieni dawa iwaingie kwa makagari yenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CHADEMA tulieni dawa iwaingie kwa makagari yenu
CHADEMA mmetutesa sana Watanzania, tumewachoka
Waambie mkuu Naona Lipumba anadanganya watu,ballot paper haina namba hivyo bado kura ni siri yako.Aache uongo! Namba ya kadi inaandikwa kwenye kibutu tu! Karatasi ya kura haina sehemu ya kuandika namba ya kadi, anayefanya hivyo anakiuka sheria
Ningeweza ningeipandisha hii comment yako ikae pale juuAnazeeka vibaya, namba inaandikwa pale juu ndio lakini baadae inapochanwa karatasi ili upewe ukapige kura, ile namba inabaki kwenye kitabu haitoki na karatasi.
vipi unataka akulelee ukiwa umepakatwa?Lipumba naye atulie ni muda wa kustafu siasa akalee wajukuu
Si kweli angalia Hugo aliye screenshot hapo chini....Kile kibutu kina namba sawa na karatasi iliyochanwa, uliyopigia kura hivyo wakiamua kukufuatilia wanakupata vizuri kabisa kwasababu zile karatasi huwa zinarudishwa tume.
vipi mamaaa umeshajifungua?Hawa maprofessor wetu ni shida sana, Angeuliza akaelimishwa kuliko kuleta uchochezi. Akamatwa huyo mgombea urais, hana tofauti na seif
Anazeeka vibaya, namba inaandikwa pale juu ndio lakini baadae inapochanwa karatasi ili upewe ukapige kura, ile namba inabaki kwenye kitabu haitoki na karatasi.
Hapa Lipumba amenena....ni too riskyProf. Lipumba ameibua hoja nzito kuhusu USIRI WA KURA kwenye Uchaguzi huu.
Akihojiwa na ITV mchana huu amesema ameshtushwa na Makarani ambao walikuwa wakinakiri namba za KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA kwene Karatasi ya MPIGA KURA.
Hivo Tume au Serikali wakitaka kujua nani kampigia Nani ni Rahisi Sana. Wanaingiza namba ya KITAMBULISHO halafu Wana SEARCH na jina litaonekana.
Wewe unasemaje?
Tujadili.