Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba: Kura sio siri tena

Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba: Kura sio siri tena

Attachments

  • ElaUQZ_XIAgNt7J.jpeg
    ElaUQZ_XIAgNt7J.jpeg
    21.5 KB · Views: 1
Aache uongo! Namba ya kadi inaandikwa kwenye kibutu tu! Karatasi ya kura haina sehemu ya kuandika namba ya kadi, anayefanya hivyo anakiuka sheria
Waambie mkuu Naona Lipumba anadanganya watu,ballot paper haina namba hivyo bado kura ni siri yako.
 
Kile kibutu kina namba sawa na karatasi iliyochanwa, uliyopigia kura hivyo wakiamua kukufuatilia wanakupata vizuri kabisa kwasababu zile karatasi huwa zinarudishwa Tume.
 
Anazeeka vibaya, namba inaandikwa pale juu ndio lakini baadae inapochanwa karatasi ili upewe ukapige kura, ile namba inabaki kwenye kitabu haitoki na karatasi.
Ningeweza ningeipandisha hii comment yako ikae pale juu
 
Huu uchaguzi ni kupoteza muda tu, zianze kuandaliwa njia mbadala za kutafuta HAKI.
 
Wewe na Lipumba wako hamjui mnachokizungumza? Nendeni mkapewe semina na NEC. Ama kweli hata kwenye Maprofesa kuna maprofesa vilaza
 
Hawa maprofessor wetu ni shida sana, Angeuliza akaelimishwa kuliko kuleta uchochezi. Akamatwa huyo mgombea Urais, hana tofauti na Seif
 
Mwambie atulie hivyo hivyo dawa imuingie akitikisika sindano itamvunjikia Matakoni
 
Kile kibutu kina namba sawa na karatasi iliyochanwa, uliyopigia kura hivyo wakiamua kukufuatilia wanakupata vizuri kabisa kwasababu zile karatasi huwa zinarudishwa tume.
Si kweli angalia Hugo aliye screenshot hapo chini....
 
Anazeeka vibaya, namba inaandikwa pale juu ndio lakini baadae inapochanwa karatasi ili upewe ukapige kura, ile namba inabaki kwenye kitabu haitoki na karatasi.

Wewe unabishana na Profesa mzima?
Unataka kuniambia wakti anatafuta jina lake ili aweke TICK hakuona ile namba kama ilikuwa kwene karatasi au ilibaki kwenye kishina?
 
Prof. Lipumba ameibua hoja nzito kuhusu USIRI WA KURA kwenye Uchaguzi huu.

Akihojiwa na ITV mchana huu amesema ameshtushwa na Makarani ambao walikuwa wakinakiri namba za KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA kwene Karatasi ya MPIGA KURA.

Hivo Tume au Serikali wakitaka kujua nani kampigia Nani ni Rahisi Sana. Wanaingiza namba ya KITAMBULISHO halafu Wana SEARCH na jina litaonekana.

Wewe unasemaje?

Tujadili.
Hapa Lipumba amenena....ni too risky
 
kuna namba ya siri au alama za siri zinazooanisha karatasi na kishina. kama atatangazwa john atawanyima teuzi ambao hawakumpigia kura.
 
Back
Top Bottom