Mmi nimepiga kura asubuhi hii na hicho kitu hakijatokea kwangu. Mh. unanitia shaka kwa maelezo yako haya!!!View attachment 1614664
NDO SISIEMU SASA KWA WALE WATUMISHI WA UMMA NA WALIOPEWA RUHUSA KWENDA KUPIGA KURA WALIOPIGA KURA KWA WAPINZANI NDO BASI TENAProf. Lipumba ameibua hoja nzito kuhusu USIRI WA KURA kwenye Uchaguzi huu.
Akihojiwa na ITV mchana huu amesema ameshtushwa na Makarani ambao walikuwa wakinakiri namba za Kitambulisho cha Mpiga Kura kwenye Karatasi ya Mpiga Kura.
Hivo Tume au Serikali wakitaka kujua nani kampigia nani ni rahisi sana. Wanaingiza namba ya Kitambulisho halafu Wana Search na jina litaonekana.
Wewe unasemaje?
Tujadili.
Upo sahihi mkuu, namba inabaki kama kishina cha ticket ktk ballot paper hamna namba.Anazeeka vibaya, namba inaandikwa pale juu ndio lakini baadae inapochanwa karatasi ili upewe ukapige kura, ile namba inabaki kwenye kitabu haitoki na karatasi.
Subiri utajuwa tu, Bosi wenu ana siasa za visasiHaina acheni uzushi
Aache uongo! Namba ya kadi inaandikwa kwenye kibutu tu! Karatasi ya kura haina sehemu ya kuandika namba ya kadi, anayefanya hivyo anakiuka sheria
Bila tume huru ya uchaguzi tutaendelea kuwa na uchafuzi wa haki za kuchagua na kuchaguliwa...Akiongea na ITV leo saa 6 Mh mgombea urais wa jamuhuri wa muungano wa Tanzania kupitia CUF ,amesema ameshtushwa baada ya kuona namba yake ya kadi ya mpiga kura ikiandikwa katika ballot paper aliyopewa hivyo kupelekea kua kama watachukua namba hizo zilizoandikwa kwenye ballot paper inakua rahisi kujua nani kampigia kura nani na nani na hivyo kura sio za siri tena.
Source;ITV
Nb;Nadhani imewekwa hivyo ili JIWE agundue wasaliti wake ni nani na nani katika uchaguzi huu na ajabu kwanini vyama vya upinzani halijagundua hili mapema.
Huu uchaguzi unazo dosari yakiwepo matumizi yanguvu ya dolaHata Mimi nimeshangaa Leo
Prof. Lipumba ameibua hoja nzito kuhusu USIRI WA KURA kwenye Uchaguzi huu.
Akihojiwa na ITV mchana huu amesema ameshtushwa na Makarani ambao walikuwa wakinakiri namba za Kitambulisho cha Mpiga Kura kwenye Karatasi ya Mpiga Kura.
Hivo Tume au Serikali wakitaka kujua nani kampigia nani ni rahisi sana. Wanaingiza namba ya Kitambulisho halafu Wana Search na jina litaonekana.
Wewe unasemaje?
Tujadili.
Hii ndio njia nzuri ya kuhakiki zinazodaiwa ni kura feki.Je, kura hii ni Siri?
Kwanini mwaka huu tofauti na miaka mingine, NEC wameweka sehemu ya kujaza namba za kitambulisho.
Huku wakiwataka wafanyakazi wa uma kupiga kura siku moja kabla?
Je, Ajira za watu hasa walio chagua upinzani ziko salama?