Mmi nimepiga kura asubuhi hii na hicho kitu hakijatokea kwangu. Mh. unanitia shaka kwa maelezo yako haya!!!View attachment 1614664
Wengi tumepiga kura na hatujaona kitu kama hicho.
Inawezekana huo utaratibu umetumika baadhi ya maeneo, kuna sababu ya msingi tu kufanya hivyo na sio sababu ya kihoja ya kura sio siri.