Prof. Lipumba kuunguruma February 11, viwanja vya Magomeni Morocco (stendi ya mwendokasi)

Joined
Nov 28, 2019
Posts
7
Reaction score
14
Screenshot_20230131-162517.png
PROF.LIPUMBA
Kuunguruma February 11, viwanja vya Magomeni Morocco(stendi ya mwendokasi)

CUF- Chama cha wananchi wilaya ya Kinondini

Mkutano mkuu wa hadhara

Viongozi wakuu wa chama watakuwepo wakiongozwa na bingwa wa uchumi dunia Prof. Lipumba.

Usipange kukosa njoo tuisimamishe Kinondoni, njoo tuijaze Magomeni.

#chamamakini
#ViongoziMakini
 
View attachment 2503649PROF.LIPUMBA

vibaraka wa Jiwe wote wamesambaratika...ila kifo wee acha tuu
 
Akaungurume porini
Hata Simba dume huwa linaacha Harem yake baada ya kupigwa kipigo cha mbwa Koko halafu anaenda kufa mbali

Kwanini hawajifunzi kwa Simba hawa wazee?
 
View attachment 2503649PROF.LIPUMBA
Kuunguruma February 11, viwanja vya Magomeni Morocco(stendi ya mwendokasi)

CUF- Chama cha wananchi wilaya ya Kinondini

Mkutano mkuu wa hadhara

Viongozi wakuu wa chama watakuwepo wakiongozwa na bingwa wa uchumi dunia Prof. Lipumba.

Usipange kukosa njoo tuisimamishe Kinondoni, njoo tuijaze Magomeni.

#chamamakini
#ViongoziMakini
Stendi ya Mwendokasi? nani kamruhusu kwenda kwenye eneo ambalo si la wazi
 
Hiyo venue yake sijaielewa.
Jamani hiyo miundombinu ya mwendokasi si ni Kwa ajili ya shughuli ya usafirishaji.
Ashauriwe aende viwanja vya Biafra aache kubughuzi abiria
 
Hivi hili la kuitwa bingwa wa uchumi ni bingwa kweli kweli au ndio siasa tu.
 
An actor should know when to leave the stage,huyu na chama chake cha ngunguli ngangali angerudi zake tabora tu,mnafiki huwa hana rafiki na mwisho wake huwa mbaya na waibu.
 
View attachment 2503649PROF.LIPUMBA
Kuunguruma February 11, viwanja vya Magomeni Morocco(stendi ya mwendokasi)

CUF- Chama cha wananchi wilaya ya Kinondini

Mkutano mkuu wa hadhara

Viongozi wakuu wa chama watakuwepo wakiongozwa na bingwa wa uchumi dunia Prof. Lipumba.

Usipange kukosa njoo tuisimamishe Kinondoni, njoo tuijaze Magomeni.

#chamamakini
#ViongoziMakini
lipumba ulisha chuja bora ukafanye mambo mengine tu wenzako wanafanyia mikutano jangwani mwembe yanga watu nyomi wewe unavizie kwenye kituo cha basi hili uwautubie wasafiri bora ungefanyia biafura pale lakini uwezi pata watu
 
Back
Top Bottom