25000q
JF-Expert Member
- Dec 27, 2022
- 4,805
- 3,762
magu aliacha kamalizaHivi Magdalena Sakaya yupo ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
magu aliacha kamalizaHivi Magdalena Sakaya yupo ?
Mkuu waambie wazee wa ovyooo kabsaaaAkaungurume porini
Hata Simba dume huwa linaacha Harem yake baada ya kupigwa kipigo cha mbwa Koko halafu anaenda kufa mbali
Kwanini hawajifunzi kwa Simba hawa wazee?
Anajua hapati watuHiyo venue yake sijaielewa.
Jamani hiyo miundombinu ya mwendokasi si ni Kwa ajili ya shughuli ya usafirishaji.
Ashauriwe aende viwanja vya Biafra aache kubughuzi abiria
Uchumi wa tumboHivi hili la kuitwa bingwa wa uchumi ni bingwa kweli kweli au ndio siasa tu.
Yaani zee linaongea mate yanamtoka haoni hata aibuMkuu waambie wazee wa ovyooo kabsaaa
Hawa ndiyo wanakwamisha uraia pacha
Mawazo ya kizaman
Asante SanaYaani zee linaongea mate yanamtoka haoni hata aibu
Mda huo angekuwa na shamba lake kubwa ana kula raha kama Pinda
Hawa mpaka wajikojolee kama Salva ndio wanashtuka
Uraia pacha wanafikiri ni hasara ila hawajui wangetoa sheria ya kuwepo leo tungerudi na kumwaga Ranches na kilimo cha kisasa na viwanda vidogo kibao
Hapo vijana wengi tungewapa ajira
Lakini yana roho mbaya shetani akalale
Huyo acha PhD hata ng'ombe nisingemtuma akachunge [emoji1]Asante Sana
Nchi inawatu wanajiita wasomi lkn ukweli sio wasomi wamekariri madesa poor reasons
PhD za mchongo we msikilize akiongea ni kituko