GJHariohay
JF-Expert Member
- Oct 24, 2013
- 1,041
- 1,160
Habari wana jamvi.
Mnyetishaji wa karibu sana na huyu jamaa amenieleza kuwa huyu Bwana anakusudia kuwaandikia barua za onyo kali wabunge wote wa CUF waliotoka nje ya Bunge leo wakiungana na wenzao wa UKAWA kwa kile walichodai kutowatambua wabunge wa Profesa wanaoapishwa leo hii.
Hii habari ni kweli, alienipa habari hizi ni mtu wa karibu sana na Bwana yule. Taarifa zaidi zinasema Bwana yule amekuwa Trained toka pande zile za Ufukwe wa Bahari pembeni ya Soko kuu la Samaki. Ni lazima ahakikishe CUF inakufa kabla ya 2020.
Get tunned!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
penye msiba wa masikini na tajiri yupoHabari wana jamvi.
Mnyetishaji wa karibu sana na huyu jamaa amenieleza kuwa huyu Bwana anakusudia kuwaandikia barua za onyo kali wabunge wote wa CUF waliotoka nje ya Bunge leo wakiungana na wenzao wa UKAWA kwa kile walichodai kutowatambua wabunge wa Profesa wanaoapishwa leo hii.
Hii habari ni kweli, alienipa habari hizi ni mtu wa karibu sana na Bwana yule. Taarifa zaidi zinasema Bwana yule amekuwa Trained toka pande zile za Ufukwe wa Bahari pembeni ya Soko kuu la Samaki. Ni lazima ahakikishe CUF inakufa kabla ya 2020.
Get tunned!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa navyouona Mchezo ni wazi kua Li Pumba ndio kashika mpini, na Maalim kwenye makali. kadiri wanavyovutana basi Maalim ndio anaumia zaidi. Sababu ni kua Vyombo vyote vya dola pamoja na Bunge, Mahakama, Msajili, NEC wako nyuma ya Li Pumba.Habari wana jamvi.
Mnyetishaji wa karibu sana na huyu jamaa amenieleza kuwa huyu Bwana anakusudia kuwaandikia barua za onyo kali wabunge wote wa CUF waliotoka nje ya Bunge leo wakiungana na wenzao wa UKAWA kwa kile walichodai kutowatambua wabunge wa Profesa wanaoapishwa leo hii.
Hii habari ni kweli, alienipa habari hizi ni mtu wa karibu sana na Bwana yule. Taarifa zaidi zinasema Bwana yule amekuwa Trained toka pande zile za Ufukwe wa Bahari pembeni ya Soko kuu la Samaki. Ni lazima ahakikishe CUF inakufa kabla ya 2020.
Get tunned!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini asubiri awamu nyingine? Awatimue sasaHakika wanastahili onyo kali na kalipio pia!Awamu nyingine wakirudia na watimuliwe kabisa!
Unafikiri ni kwanini wabunge wa Cuf wametoka, hawamwogopi mshika mpini?Kwa navyouona Mchezo ni wazi kua Li Pumba ndio kashika mpini, na Maalim kwenye makali. kadiri wanavyovutana basi Maalim ndio anaumia zaidi. Sababu ni kua Vyombo vyote vya dola pamoja na Bunge, Mahakama, Msajili, NEC wako nyuma ya Li Pumba.
Maalim afanye tu maamuzi magumu ya ku-reconcile na Li Pumba, otherwise aondoke na wabunge wake kuhamia CDM au kuanzisha chama kingne. Ni wazi kua kutafanyika uchaguzi mwengine ksha wananchi ndio watakaoamua
Ndio ni huyuhuyu ambaye hapo zamani CUF walimsifia sana.Jamani hivi huyu Profesa ndo huyu tunayemfaham ama mwingine?Huyu mzee kiukweli anatia hasira sana basi tu
Mkuu nipe namba ya sm ya huyo rafiki yake na Lipumba kuna kitu nataka kumshauri.Habari wana jamvi.