Tetesi: Prof. Lipumba kuwaandikia barua ya onyo wabunge wa CUF waliotoka nje Bungeni

Tetesi: Prof. Lipumba kuwaandikia barua ya onyo wabunge wa CUF waliotoka nje Bungeni

Sasa unategemea wale wataenda ccm? Kuna wabunge wa cuf wamepata kura kwa mgongo wa chadema ndani ya ukawa mm mwenyewe nilipigia kura diwani na mbunge wa cuf kwa kuwa wapo ukawa bila hivyo kura yangu ilikuwa inaenda chadema leo lipumba anapora haki yao na kura yangu kirahisi hivyo akishirikiana na ccm wakati alienda kura bata rwanda.
Mnamlaumu Lipumba kwa jambo gani hasa!?
 
Habari wana jamvi.

Mnyetishaji wa karibu sana na huyu jamaa amenieleza kuwa huyu Bwana anakusudia kuwaandikia barua za onyo kali wabunge wote wa CUF waliotoka nje ya Bunge leo wakiungana na wenzao wa UKAWA kwa kile walichodai kutowatambua wabunge wa Profesa wanaoapishwa leo hii.

Hii habari ni kweli, alienipa habari hizi ni mtu wa karibu sana na Bwana yule. Taarifa zaidi zinasema Bwana yule amekuwa Trained toka pande zile za Ufukwe wa Bahari pembeni ya Soko kuu la Samaki. Ni lazima ahakikishe CUF inakufa kabla ya 2020.

Get tunned!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Cuf ina nini jamn bora ata ungesema chadema cuf mbona weupe kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akiwafukuza automatically na hao walioapa wanafutika maana ni tunda la idadi ya wa bunge wa majimbo.
 
Back
Top Bottom