Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni dhaifu kwa mihimili mingine pia ni dhaifu kwa wabunge wenzie wa CCM,Hao nao watapoteza ubunge kirahisi rahisi tu.....nimemsikia Ndugai asubuhi akiwakejeli wanaomwita yeye dhaifu...amesema sasa watauona udhaifu wake vizuri
ana bahati yupo huku Bongo kuna makondoo.Jamani hivi huyu Profesa ndo huyu tunayemfaham ama mwingine?Huyu mzee kiukweli anatia hasira sana basi tu
[emoji651][emoji652]Hakuna cha rafiki yake Lipumba, wala namba ya rafiki yake, hii ni habari ya kutunga tu watu wapate cha kujadili
KWA Tanzania yote yanawezekana, nchi ya kipuuzi sanaa hii nchi inatia hasira, nchi wajinga wengi sanaaa.
Nimechanganya huyo mume wa Georgia alikuwa anaitwa Kweka. Kweka na Green walikuwa marafiki sana.Sikuwa aware. Kumbe kama Dr slaa na mke wa mtu. Basi wanasiasa sijui wanakuwa busy , hawaangaiki kutafuta wake wanataka finished goods mpaka kushtakiwa....
Duh!!!! Acha ubabe mkuu...........ana bahati yupo huku Bongo kuna makondoo.
angekuwa Kenya ange-kameruni-wa huyu. hawanaga mchezo wale!
man..mbona mnakuwa na akili za woga hivi..Una reconcile na Lipumba kwa kipi?? kwa ajili ya madaraka...men...you guys ..are u mad???Maalim afanye tu maamuzi magumu ya ku-reconcile na Li Pumba
habari ndiyo iyo!Duh!!!! Acha ubabe mkuu...........
Big up!!!habari ndiyo iyo!
Mkuu ni yule yule,wala hajabadilika kabisa.Ndio ni huyuhuyu ambaye hapo zamani CUF walimsifia sana.
Kuwa,
Ni msomi kuliko Watanzania wote.
Anafaa kufanya kazi Benki ya Dunia.
Raisi Museveni wa Uganda anamtegemea ktk kuimarisha uchumi wa Uganda.
Anafaa kuwa Raisi wa Tanzania.
Ndiye pekee anayeweza kuiinua nchi ya Tanzania kiuchumi na kidemokrasia.
Ndiye pekee mtetezi wa haki sawa kwa wote
nk.
Ni huyuhuyu Prof. Lipumba.
Na CUF ni hii hii.
Muulize huyo pandikizi wenu alisahau nini CUF?Kumbe mnaishi kwa kutegemea ruzuku, hivi hakuna maisha nje ya ruzuku!
.....unataka ku'Chakaza !?Hivi hakuna njia nyingine ya kufanya kwa Lipumba? Maana uwepo wake unarudisha nyuma jitihada za wenzake? Nauliza tuu, msije nifikiria vibaya nina maana nzuri tuu!