Tetesi: Prof. Lipumba kuwaandikia barua ya onyo wabunge wa CUF waliotoka nje Bungeni

Tetesi: Prof. Lipumba kuwaandikia barua ya onyo wabunge wa CUF waliotoka nje Bungeni

Habari wana jamvi.

Mnyetishaji wa karibu sana na huyu jamaa amenieleza kuwa huyu Bwana anakusudia kuwaandikia barua za onyo kali wabunge wote wa CUF waliotoka nje ya Bunge leo wakiungana na wenzao wa UKAWA kwa kile walichodai kutowatambua wabunge wa Profesa wanaoapishwa leo hii.

Hii habari ni kweli, alienipa habari hizi ni mtu wa karibu sana na Bwana yule. Taarifa zaidi zinasema Bwana yule amekuwa Trained toka pande zile za Ufukwe wa Bahari pembeni ya Soko kuu la Samaki. Ni lazima ahakikishe CUF inakufa kabla ya 2020.

Get tunned!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna mambo yanafanywa na wanao tengeneza hizi movie bila kuangalia impact ya swala zima kwa ujumla wake. Vitendo vinavyofanywa na Lipumba, Bunge na Msajili wa vyama vinafanywa kwa uwazi sana kiasi kwamba inanyesha mnyonge anaonewa na mwenye nguvu, kumbe basi matokeo yake badala ya kuleta umoja wa kitaifa kwa ujumla.....inaleta chuki za mioyoni mwa wananchi.

Yanayo fanyika yanaweza yawe yanafurahisha tu group fulani la watu wachache na likaudhi kundi kubwa sana la watu hata ambao ni ccm, lakini wenye kujali demokrasia ya kweli!
 
Habari wana jamvi.

Mnyetishaji wa karibu sana na huyu jamaa amenieleza kuwa huyu Bwana anakusudia kuwaandikia barua za onyo kali wabunge wote wa CUF waliotoka nje ya Bunge leo wakiungana na wenzao wa UKAWA kwa kile walichodai kutowatambua wabunge wa Profesa wanaoapishwa leo hii.

Hii habari ni kweli, alienipa habari hizi ni mtu wa karibu sana na Bwana yule. Taarifa zaidi zinasema Bwana yule amekuwa Trained toka pande zile za Ufukwe wa Bahari pembeni ya Soko kuu la Samaki. Ni lazima ahakikishe CUF inakufa kabla ya 2020.

Get tunned!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Yaani nyie kila tatizo lenu lazima msingizie ccm...
 
Ndio ni huyuhuyu ambaye hapo zamani CUF walimsifia sana.
Kuwa,
Ni msomi kuliko Watanzania wote.
Anafaa kufanya kazi Benki ya Dunia.
Raisi Museveni wa Uganda anamtegemea ktk kuimarisha uchumi wa Uganda.
Anafaa kuwa Raisi wa Tanzania.
Ndiye pekee anayeweza kuiinua nchi ya Tanzania kiuchumi na kidemokrasia.
Ndiye pekee mtetezi wa haki sawa kwa wote
nk.
Ni huyuhuyu Prof. Lipumba.
Na CUF ni hii hii.
Hata Dr Slaa alisifiwa hivyo hivyo na CHADEMA hii! Ph D ya u kweli, msomi zaidi etc nothing is constant
 
mimi nashauri na kila watakapokuwa wanapewa nafasi ya kuchangia oja wabunge wote wa UKAWA wawe wanatoka nje ili wabaki na wabunge wao wa ndioo mzee
 
Poleni cuf. Kaeni tiyari kuwaona hao mnaowaita wabunge wenu wakifungiwa kuingia pale bungeni kabla ya 2020. Ndungai atawanyoosha tu na hata pensheni hawaipati.
 
Ila sijawahi kusikia. Unamfahamu kwa jina? Thanks 4 info
Ilikuwa miaka ya 80 Georgia alikuwa ametengana na mumewe wakati huo kama sikosei huyo mume alikuwa anaitwa Green yeye akamzalisha baadae Green alienda mahakamani
 
Ukitaka kumjua prof Lipumba, Fanya mambo mawili. 1. Nenda kijijini kwao pale Lolangulu ukapaone. 2. Nenda nyumbani kwake angalau tu ukawasalimu mke na watoto wake, ndiyo tuje tuendelee humu kujadili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilikuwa miaka ya 80 Georgia alikuwa ametengana na mumewe wakati huo kama sikosei huyo mume alikuwa anaitwa Green yeye akamzalisha baadae Green alienda mahakamani

Sikuwa aware. Kumbe kama Dr slaa na mke wa mtu. Basi wanasiasa sijui wanakuwa busy , hawaangaiki kutafuta wake wanataka finished goods mpaka kushtakiwa....
 
Habari wana jamvi.

Mnyetishaji wa karibu sana na huyu jamaa amenieleza kuwa huyu Bwana anakusudia kuwaandikia barua za onyo kali wabunge wote wa CUF waliotoka nje ya Bunge leo wakiungana na wenzao wa UKAWA kwa kile walichodai kutowatambua wabunge wa Profesa wanaoapishwa leo hii.

Hii habari ni kweli, alienipa habari hizi ni mtu wa karibu sana na Bwana yule. Taarifa zaidi zinasema Bwana yule amekuwa Trained toka pande zile za Ufukwe wa Bahari pembeni ya Soko kuu la Samaki. Ni lazima ahakikishe CUF inakufa kabla ya 2020.

Get tunned!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
You mean MBWENI???[emoji23][emoji23][emoji23]

May Allah bless Me and You
 
Back
Top Bottom