SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Habari wana jamvi.
Mnyetishaji wa karibu sana na huyu jamaa amenieleza kuwa huyu Bwana anakusudia kuwaandikia barua za onyo kali wabunge wote wa CUF waliotoka nje ya Bunge leo wakiungana na wenzao wa UKAWA kwa kile walichodai kutowatambua wabunge wa Profesa wanaoapishwa leo hii.
Hii habari ni kweli, alienipa habari hizi ni mtu wa karibu sana na Bwana yule. Taarifa zaidi zinasema Bwana yule amekuwa Trained toka pande zile za Ufukwe wa Bahari pembeni ya Soko kuu la Samaki. Ni lazima ahakikishe CUF inakufa kabla ya 2020.
Get tunned!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Awafukuze uanachama aone kama hatakufa njaa maana haitapatikana hata senti kipande ya ruzuku, fala sana huyu mzee.