Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba na Mgombea mwenza Hamida Abdallah Huweishi wachukua fomu za kugombea Urais

Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba na Mgombea mwenza Hamida Abdallah Huweishi wachukua fomu za kugombea Urais

IMG_20200812_062958_347.jpg

HABARI: Mgombea wa Urais kupitia CUF Prof. Ibrahim Haruna Lipumba akiwa ameambatana na mgombea mwenza Hamida Abdallah wamefika tume ya uchaguzi (NEC) kuchukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania mwaka huu.

#MchumiTufikishe
 
Ni haki yake kisheria na pengine atakuwa na sababu zake za msingi. Lakini kwa mtizamo wangu, usomi wake ulipaswa umsaidie hata kusoma alama za nyakati.

Kuna wakati wa kukumbatia na wakati wa kuacha kukumbatia, wakati wa kushikilia na wakati wa to just let go
 
Nasubiri kuona mapokezi yake Dar,Unguja na Pemba🤣🤣


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Ukweli Mchungu: CUF ndio inazikwa rasmi Oct 2020 maana hawatopata Mbunge wala Diwani ,inaenda kuwa kama TLP au DP.
 
Haha hata camera iliyopiga picha imeona aibu, ikaficha maandishi ya kwenye huo mkoba
 
Mgombea wa Urais kupitia chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba na mgombea mwenza Hamida Abdallah Huweishi, leo Agosti 11, 2020, wamechukua fomu zakugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Ofisi za NEC, zilizopo Dodoma.

View attachment 1533853
yupo kumbe huyu??
 
Back
Top Bottom