Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba na Mgombea mwenza Hamida Abdallah Huweishi wachukua fomu za kugombea Urais

Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba na Mgombea mwenza Hamida Abdallah Huweishi wachukua fomu za kugombea Urais

Magdalena Sakaya ni mwanamageuzi ila chama lake limekua jumba bovu.
 
Sidhani kama atapata hata diwani
bado hamjafamu kazi ya CUf ni kuhalalisha ushindi wa CCM. CCM wakishaiba kura wao Macuf watasema uchaguzi ulikuwa huru na haki na watakaiwa kila mmoja millioni 5 wakafie mbele
 
Back
Top Bottom