ikipendaroho JF-Expert Member Joined Jul 26, 2015 Posts 3,903 Reaction score 3,856 Aug 12, 2020 #41 Ndani kavaa sweater? Naona mikono imatokeza!
Alvin Slain JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 6,375 Reaction score 3,663 Aug 12, 2020 #42 Magdalena Sakaya ni mwanamageuzi ila chama lake limekua jumba bovu.
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,263 Aug 12, 2020 #43 ikipendaroho said: Na mimi naengeza 0.1km ya kwangu. Click to expand... Hahahaaa........ Hii ni kampeni pasua jiwe
ikipendaroho said: Na mimi naengeza 0.1km ya kwangu. Click to expand... Hahahaaa........ Hii ni kampeni pasua jiwe
K Kifoi JF-Expert Member Joined May 12, 2007 Posts 1,226 Reaction score 531 Aug 13, 2020 #44 Mmawia said: Sidhani kama atapata hata diwani Click to expand... bado hamjafamu kazi ya CUf ni kuhalalisha ushindi wa CCM. CCM wakishaiba kura wao Macuf watasema uchaguzi ulikuwa huru na haki na watakaiwa kila mmoja millioni 5 wakafie mbele
Mmawia said: Sidhani kama atapata hata diwani Click to expand... bado hamjafamu kazi ya CUf ni kuhalalisha ushindi wa CCM. CCM wakishaiba kura wao Macuf watasema uchaguzi ulikuwa huru na haki na watakaiwa kila mmoja millioni 5 wakafie mbele