Tetesi: Prof. Lipumba na wafuasi wake wakesha wakiomba radhi kwa Maalim Seif na viongozi wengine



Mkuu hii babari ni ukweli au umeamua tu kufurahisha watu mchana wa leo!! Maana umeongea km ulikua unarekodi kila kitu. Ulisahau tu kusema baada ya kukata simu alikunywa maji yaliyokuwa kwenye glass, coz kwa hiyo hali maji ni muhim kwa ajili ya kulainisha koo
 
Ungeandika Tetesi basi. Ila katika wasomi ambao nimeshindwa kuwaelewa kabisa ni huyu Professor Lipumba. Sina shaka kabisa na usomi wake ila nina tatizo uwezo wake wa kufikiri na kutafakari mambo mengine nje ya mambo ya uchumi ambao najua kabisa kuwa amebobea.
 
Kwa Lipumba huyu na wapambe wake sioni kama uliyo andika yana ukweli. Lipumba ni mahakama tu inayoweza kumdhibiti au CUF-Maalim watakapo kuja na plan B (na tegemea wanayo) kama mahakama itamuunga mkono Lipumba. Lipumba ameonyesha utayari wa kuiua CUF (sijui kwa niaba ya nani) na sidhani atarudi nyuma hadi moja kati ya hayo mawili yatokee au CUF ife.
 
Mleta mada unapoteza mda wako humu JF, tumia ujuzi wako kuandika vitabu vya hadithi za watoto, utatengeneza pesa nzuri NA maisha yatabadilika
hakika, huyu aliyetutumia hii post anataka tupoteze muda kujadili yasiyo maana.
 
Hii habari nayo iko kiunazi sana. Sidhani kama ni kweli. Ila ninachojua mimi, Lipumba alikuwa anaamini kwamba bila yeye Cuf itapoteza mwelekeo kwa sasa amejua yeye si lolote si chochote. Hofu inayompata anajua hata waliokuwa wanamtumia wakidhani ana ushawishi watampuuza kwani thamani waliyompa wameona si lolote. Mwenzake Slaa amepata maisha yeye kabaki naki na kina Sakaya. Namshauri yeye na kundi lake wajiunge ccm tu
 
Njia rahisi.
Afute kesi kwa kukubali makosa
Atoke hadharani kusema mimi sio mwenyekiti halali na amwandikie Mutungi kuwa
Akubali nilitumiwa
Basi cuf kitasimama na yeye heshma yake itarudi
Heshima ya Lipumba haiwezi kurudi mkuu under any circumstances.Kwa mtu makini, Lipumba is simply an idiot.Sikuamini kwamba binadamu anaweza kupoteza utu wake kwa kutumikia mfumo ambao after all ni utopian na hewa.Kweli mwanadamu can be used to do simply anything.
 
Mtu anaomba radhi kwenye simu? Kwa nini asiite mkutano na waandishi wa habari? Siamini hadi maalim seif mwenyewe athibitishe kwenye press kwa kuwa ni jambo linalohusu wengi haliwezi kuisha kwa kupigiana simu tu.
 
Hivi kwa nini mzee hajamkumbuka Lipumba kwenye ubalozi?
 
Dr Slaa anakula kuku kwa mlija Sweden, yule hakucheza dili hewa kama huyu Profesa Pumba.

Dr Slaa chapter yake closed.



Lipumba amechanganyikiwa zaidi baada ya kumuona mwenzake(dkt.Slaa)anapewa shavu la heshima Sweden huku yeye akizidi kudharirika hapa bongo.

Msomi aliyeshindwa kupambanua alama za nyakati usomi wake hauwezi kumsaidia hata mwenyewe!Magu na Slaa hawa ni wakatoriki wanajuwana wenyewe na hadi leo hakuna ajuwaye nini hasa kinachotoka katika altare za kanisa kwenda kwa Magu.

Ahuweni ya Lipumba ni yeye kutoka hadharani na kuukiri usaliti wake wote na jinsi alivyotumika kuvuruga Matumaini ya wananchi,atoke atubu,vinginevyo ataonekana anataka kuleta usaliti mpya,usaliti wa 3D.
 
Binafsi siamini hii kitu inaweza kutokea wakati bado akaunti ya ruzuku ikwa bado ina pesa
 
Mkuu ulicho andika ndicho kilicho kwenye akili yako


Ukweli ni kuwa lipumba akirudi kuomba msaha amini cuf ndo imeisha maana kama lipumba anatumika na ccm tambua njia inaelekea kubadilika yaani wanabadilisha mbinu za kuiua cuf na cuf ikifa jua chadema itapanda zaidi maana ninavyo jua cuf hawawezi kukubali kurudi ccm
 
Kwa hadithi tamu kama hii tuma neno SIMULIZI kwenda namba 15123.Utachajiwa sh. 150 tu.
 
Ukitaka kujuwa kuwa Lipumbavu hana ushawishi tizama namna alivyoshindwa kukipatia chama chake hata kiti kimoja cha ubunge mkoa aliotoka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…