Tetesi: Prof. Lipumba na wafuasi wake wakesha wakiomba radhi kwa Maalim Seif na viongozi wengine

Tetesi: Prof. Lipumba na wafuasi wake wakesha wakiomba radhi kwa Maalim Seif na viongozi wengine

Mkuu Kambaya sasa wale waganga ulioenda kuwatafuta Bagamoyo mbona wameshindwa kumuokoa Lipumba ?
 
Njia rahisi.
Afute kesi kwa kukubali makosa
Atoke hadharani kusema mimi sio mwenyekiti halali na amwandikie Mutungi kuwa
Akubali nilitumiwa
Basi cuf kitasimama na yeye heshma yake itarudi
Lipumba!, Heshima haitoipata tena amekuwa wa hovyo mno. Msajili mwenyewe alisha badili kila kitu,hadi kwenye website ali pahariri ili pafanane na analo litaka
 
chadema wamepata kura ngapi kinondoni?!
CHADEMA anaingiaje hapa? Kwani mimi nilikuuliza CUF wamepata kura ngapi? Si nilikupa data mwenyewe. Nina hakika hata std 8 umemaliza kwa tabu wewe!
 
Huwezi kusaliti mabadiliko ya kumkomboa Mtanzania kutoka kwenye makucha ya wauaji kisha ukabaki salama
kama yule wa kinondoni mbunge, imagine polisi anabeba sanduku then anarudisha hahaha...naskia saivi yupo kijini kwao kwenye mimoshi ya majungu domo likae sawa, amezungukwa na mibabu inaimba nyimbo za kale hahaha...hapo wazanzibari nimewakubali
 
Back
Top Bottom