Prof. Lipumba: Nina Matumaini Makubwa na Rais Samia, Chaguzi Zijazo Zitakuwa Huru na Haki!, Mambo ya 2019/2020 Yasijirudie!

Mkuu Retired, nimemuweka Prof. Lipumba ili umsikilize hoja zake!, wewe badala ya kusikiliza unaanza kwa kumtukana jinga!.

Samia anaunda Tume huru ya Uchaguzi

Sheria zinabadilishwa yote haya yatafanyika.

Maadam sheria zinabadilishwa baada ya kila sheria kunatungwa kanuni

Try to be fair!, gentle na usitumie lugha ya maudhi, tumia lugha ya staha!.
P
Tanzania hakuna uchaguzi bali Kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura. Ingekuwa CCM ina uhakika wa kushinda itakavyo, Sheria njema zingetungwa, lakini kwa kuwa CCM haina uhakika huo ni vigumu kuwa na Sheria nzuri. Na kibaya zaidi hata Sheria zikiwa nzuri, hakuna uhakika wa kutekelezwa kwani wanaozivunja wako juu ya Sheria. Rejea kuwa katiba ni kijitabu tu.
 
Wanabodi,
Nimeanzisha mfululizo wa makala za Uso kwa Uso, au Face to Face Vox Pop, ambapo nikialikwa event yoyote, nitakuwa nafanya mahojiano mafupi ya face to face kupata Vox Pop ya baadhi ya washiriki wa event hiyo

Face2Face ya leo ni c̅ M/Kiti CUF, Prof. Lipumba - "Nina Matumaini Makubwa na Rais Samia, Chaguzi Zijazo Zitakuwa Huru na Haki!, Mambo ya 2019/2020 Yasijirudie!.

Karibu
View: https://youtu.be/U2sP1sh3Si8?si=38AfGpvn3eiYvNv4

Lengo la hii Vox Pop ni kuwapa sauti the voiceless wasikike, hizi Vox Pop zikiwa nyingi na kuwa compiled together na kupazwa kwa pamoja, zinakuwa ni Vox Pop only, zinakuwa transformed into Vox Populi, na kama ni kweli wasemavyo walimwengu, "Vox Populi is Vox Dei", then viongozi wetu wana wajibu wa kuzisikia sauti hizi kwasababu zina undergo conversion to Vox Dei!.

Wasalaam.

Paskali

Ngonjera zote za nini hizi si aridhie katiba mpya tu? Kwani wezi huwa wanasema watakwiba chaguzi?
 
Wanabodi,
Nimeanzisha mfululizo wa makala za Uso kwa Uso, au Face to Face Vox Pop, ambapo nikialikwa event yoyote, nitakuwa nafanya mahojiano mafupi ya face to face kupata Vox Pop ya baadhi ya washiriki wa event hiyo

Face2Face ya leo ni c̅ M/Kiti CUF, Prof. Lipumba - "Nina Matumaini Makubwa na Rais Samia, Chaguzi Zijazo Zitakuwa Huru na Haki!, Mambo ya 2019/2020 Yasijirudie!.

Karibu
View: https://youtu.be/U2sP1sh3Si8?si=38AfGpvn3eiYvNv4

Lengo la hii Vox Pop ni kuwapa sauti the voiceless wasikike, hizi Vox Pop zikiwa nyingi na kuwa compiled together na kupazwa kwa pamoja, zinakuwa ni Vox Pop only, zinakuwa transformed into Vox Populi, na kama ni kweli wasemavyo walimwengu, "Vox Populi is Vox Dei", then viongozi wetu wana wajibu wa kuzisikia sauti hizi kwasababu zina undergo conversion to Vox Dei!.

Wasalaam.

Paskali

Tangu lipumba ayaseme haya maneno msikitini, hana thamani kwangu kabisa. Ni mtu hatari sana watanzania wamwepuke.

View: https://www.youtube.com/watch?v=ujwfFUUAD70
 
Ona jinga lingine hili hapa eti ni Prof!!!. Kwa dalili zipi za uchaguzi huru anazoziona? Ili uchaguzi huru uwepo what are the ingredients?
1. Independent electoral commission

2. Voter registration

3. Voters have access to reliable information

4. Citizens can run

5. All voters are able to vote

6. Voters are not intimidated

7. Voting is free from fraud

8. Ballots are counted accurately and the correct results are reported

9. The results are respected

sasa muulize kati ya hizi ( na nyingine ambazo sizijui) kuna mechanism gani in place kuhakikisha those ingredients are satisfied?

Eti na hilo ni Professor! Rubbish1
Mkuu heshima yako. Najua amekukwaza kama alivyonikwaza lakini tumsamehe bure. we should not undermine mr. Lipumba, ukweli ni kuwa,"HE IS A PROFFESOR"
 
Mkuu @Retired, nimemuweka Prof. Lipumba ili umsikilize hoja zake!, wewe badala ya kusikiliza unaanza kwa kumtukana jinga!.
Heding ya thread yako inaniongoza kutosoma the whole content na kufanya conclusion! Pascal Mayalla kwa mtu kama prof anapoweka mabo ya kuwa nina imani wakati anaona trend/behaviour ya samia, lazima nimuite jinga! Mtu anaema katiba ni kajitabu...huyo kweli atakupa uchaguzi huru na wa haki! Atageuza katiba inayompa UMungu mtu iwe ya wote?
Finally kuna modalities zipi unazoziona kuwa tuko kwenye right track!
 
Wanabodi,
Nimeanzisha mfululizo wa makala za Uso kwa Uso, au Face to Face Vox Pop, ambapo nikialikwa event yoyote, nitakuwa nafanya mahojiano mafupi ya face to face kupata Vox Pop ya baadhi ya washiriki wa event hiyo

Face2Face ya leo ni c̅ M/Kiti CUF, Prof. Lipumba - "Nina Matumaini Makubwa na Rais Samia, Chaguzi Zijazo Zitakuwa Huru na Haki!, Mambo ya 2019/2020 Yasijirudie!.

Karibu
View: https://youtu.be/U2sP1sh3Si8?si=38AfGpvn3eiYvNv4

Lengo la hii Vox Pop ni kuwapa sauti the voiceless wasikike, hizi Vox Pop zikiwa nyingi na kuwa compiled together na kupazwa kwa pamoja, zinakuwa ni Vox Pop only, zinakuwa transformed into Vox Populi, na kama ni kweli wasemavyo walimwengu, "Vox Populi is Vox Dei", then viongozi wetu wana wajibu wa kuzisikia sauti hizi kwasababu zina undergo conversion to Vox Dei!.

Wasalaam.

Paskali

Huyo ni sleeping agent wa mfumo.
 
Anko P- kuna usemi kwamba "when facts change the right thing to do is to change direction". Najiuliza hapa swali hili, have facts of real politik (political policies based primarily on considerations of given circumstances and factors, rather than strictly following explicit ideological notions or moral and ethical premises') za kwetu changed?
 
Ona jinga lingine hili hapa eti ni Prof!!!. Kwa dalili zipi za uchaguzi huru anazoziona? Ili uchaguzi huru uwepo what are the ingredients?
1. Independent electoral commission

2. Voter registration

3. Voters have access to reliable information

4. Citizens can run

5. All voters are able to vote

6. Voters are not intimidated

7. Voting is free from fraud

8. Ballots are counted accurately and the correct results are reported

9. The results are respected

sasa muulize kati ya hizi ( na nyingine ambazo sizijui) kuna mechanism gani in place kuhakikisha those ingredients are satisfied?

Eti na hilo ni Professor! Rubbish1
Huku barani kwetu ukishaingia kwenye Sihasa uprofesori unauweka pembeni kwanza !! 🙏
 
Tanzania hakuna uchaguzi bali Kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura. Ingekuwa CCM ina uhakika wa kushinda itakavyo, Sheria njema zingetungwa, lakini kwa kuwa CCM haina uhakika huo ni vigumu kuwa na Sheria nzuri. Na kibaya zaidi hata Sheria zikiwa nzuri, hakuna uhakika wa kutekelezwa kwani wanaozivunja wako juu ya Sheria. Rejea kuwa katiba ni kijitabu tu.
Duh 🙄 ! Kijitabu tu ??!
 
Back
Top Bottom