Prof. Lipumba: Nina Matumaini Makubwa na Rais Samia, Chaguzi Zijazo Zitakuwa Huru na Haki!, Mambo ya 2019/2020 Yasijirudie!

Tanzania hakuna uchaguzi bali Kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura. Ingekuwa CCM ina uhakika wa kushinda itakavyo, Sheria njema zingetungwa, lakini kwa kuwa CCM haina uhakika huo ni vigumu kuwa na Sheria nzuri. Na kibaya zaidi hata Sheria zikiwa nzuri, hakuna uhakika wa kutekelezwa kwani wanaozivunja wako juu ya Sheria. Rejea kuwa katiba ni kijitabu tu.
 

Ngonjera zote za nini hizi si aridhie katiba mpya tu? Kwani wezi huwa wanasema watakwiba chaguzi?
 
Tangu lipumba ayaseme haya maneno msikitini, hana thamani kwangu kabisa. Ni mtu hatari sana watanzania wamwepuke.

View: https://www.youtube.com/watch?v=ujwfFUUAD70
 
Mkuu heshima yako. Najua amekukwaza kama alivyonikwaza lakini tumsamehe bure. we should not undermine mr. Lipumba, ukweli ni kuwa,"HE IS A PROFFESOR"
 
Mkuu @Retired, nimemuweka Prof. Lipumba ili umsikilize hoja zake!, wewe badala ya kusikiliza unaanza kwa kumtukana jinga!.
Heding ya thread yako inaniongoza kutosoma the whole content na kufanya conclusion! Pascal Mayalla kwa mtu kama prof anapoweka mabo ya kuwa nina imani wakati anaona trend/behaviour ya samia, lazima nimuite jinga! Mtu anaema katiba ni kajitabu...huyo kweli atakupa uchaguzi huru na wa haki! Atageuza katiba inayompa UMungu mtu iwe ya wote?
Finally kuna modalities zipi unazoziona kuwa tuko kwenye right track!
 
Huyo ni sleeping agent wa mfumo.
 
Anko P- kuna usemi kwamba "when facts change the right thing to do is to change direction". Najiuliza hapa swali hili, have facts of real politik (political policies based primarily on considerations of given circumstances and factors, rather than strictly following explicit ideological notions or moral and ethical premises') za kwetu changed?
 
Huku barani kwetu ukishaingia kwenye Sihasa uprofesori unauweka pembeni kwanza !! 🙏
 
Duh 🙄 ! Kijitabu tu ??!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…