Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Kwani anatafuta uteuzi?Lipumba anajaribu kufurukuta ili akumbukwe
NdioHivi kuna watu bado wanamsikiliza prof njaa
Acha kumzungumziaLipumba anajaribu kufurukuta ili akumbukwe
Ahaaa, Prof awe muhuni kivipi? Anakubalika duniani kote.Japo jiwe ni jizi la kura, lakini huyo Lipumba na muhuni kama wahuni wengine.
Ni kweli, anakubalika na wanaccm duniani kote.Ahaaa, prof awe muhuni kivipi? Anakubalika duniani kote.
Kataa usikatae Lipumba ni mmoja wa wachumi mahiri duniani.Ni kweli, anakubalika na wanaccm duniani kote.
Kwa sasa ndo wanapata akili hao ccm B
Sio kwa njaa alizonazo.Kataa usikatae Lipumba ni mmoja wa wachumi mahiri duniani.
Njaa kiasi cha kukosa kula? Unamjua vizuri?Sio kwa njaa alizonazo.
Unafikiri ukija atasemaje?Kwani anatafuta uteuzi?
Hana huo mudaUnafikiri ukija atasemaje?
πππ