Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
-
- #21
Kugoma tu bila sababu? Kwani wanasayansi wapo wapi? WHO ndio hawafai? China mbona wanatafiti Chanjo?Hata mwalimu angefufuka angewagomea walami kwenye hili sakata la Covid 19
Acha unafikiKwa sasa ndo wanapata akili hao ccm B
SijakupataHeee be kiba pee katuke hela
point wapi,lipumba alishapoteza dira kitambo.anajaribu bahati yake huenda UN wakamkumbuka,Kama Yule mwenzie ambae yupo uhamishoni.Kumbe Lipumba anaongeaga pointi wakati mwengine!
Muhongeni fedha za Walipakodi ili anyamazeLipumba anajaribu kufurukuta ili akumbukwe
Kenya na Tanzania,ni ndugu toka kitambo.huwa tunatofautiana kimitizamo kwa baadhi ya Mambo,lakini pamoja na hayo,hatujawahi kupeana visogo.East Africa ilipovunjika by then Nani alikuwa raisi hapa tz!??"Prophet" JK alishatutabiria ujio wa mpumbavu m1 kutoka chatoo kuharibu uhusiano wa kimataifa hasa na majirani Kenya!
Hakika JK ana maono!.
Lipumba hawezi kupuuzwa kwa sababu ni Lipumba bali ni kwa yale asemayo na anayotenda.Hivi kuna watu bado wanamsikiliza prof njaa
I can see!Lipumba anajaribu kufurukuta ili akumbukwe
Mtu husikilizwa kwa zuri na baya. Likiwa zuri ni zuri na likiwa baya ni baya tuHivi kuna watu bado wanamsikiliza prof njaa
Hivi kuna watu bado wanamsikiliza prof njaa
Naona anawalazimisha kukaliA chupaHivi kuna watu bado wanamsikiliza prof njaa
Lipumba anajaribu kufurukuta ili akumbukwe
Unataka video? Huna akiliBadala ya kutuwekea video ya Lumumba ili tuamini unachoongea unatuwekea video tofauti kabisa ya Lipumba. Ujathibitisha unachoongea kama ni kweli, ila ni kupiga pololo tu. Alafu wasiojielewa wanaamini unachoongea bila kuthibitisha na kuendeleza matusi.
Kwani alipotezwa na Nani? Hata saa mbovu kuna wakati inakuwa sahihi.Lipumba anajaribu kufurukuta ili akumbukwe
Tukisema mna laana mnakasirika, sifa mlizommwagia alipoivuruga CUF Leo zimepotea? Nyie ni mashetani.Hivi kuna watu bado wanamsikiliza prof njaa
Ukiwa Rais makini Wakenya lazima utofautiane nao.Kenya na Tanzania,ni ndugu toka kitambo.huwa tunatofautiana kimitizamo kwa baadhi ya Mambo,lakini pamoja na hayo,hatujawahi kupeana visogo.East Africa ilipovunjika by then Nani alikuwa raisi hapa tz!??