Prof. Lumumba: Hongera Magufuli, hongera Watanzania

Hakuna profesa hapo, ni mlamba viatu asiye na chembe ya heshima!
Ila duh! watanzania walivokuwa wanajaza nyomi kwa Lisu halafu kura walivomjazia JPM! inauma saana.
Wacha tutukane tu. maana maandamano yenyewe watanzania wametugomea.
Yaani Risasi zote 16 halafu wanatupa kura milioni moja?
 
Kura za Lissu hazijatangazwa. NEC wametangaza kura za TISS hata Magufuli mwenyewe anajua!
 
Hili baba juzi lilisema hakiyashiriki uchaguzi mwingine tena hadi kuwe na tumu huru ya uchaguzi...sasa leo tena..

Ukiwa na mizee 10 kama hii nchini aisee ni kazi ngumu mno kufikia malengo!! Inabadilika badilika tu kama homa za vipindi.
 
haraka haraka nikajua ni Prof. Lipumba
Professor njaa kali karudi tena...

Enzi za EL .. Ati nafsii imenisutaaaa....

kumbe haikiwa nafsi ni njaaa ya utosi kwa mzee wa miaka 70
 
Hakuna profesa hapo, ni mlamba viatu asiye na chembe ya heshima!
Miccm mtakufa kama kuku wenye kideri,mtapukutika kuliko maelezo yaani kama ni maajabu ya korona Tanzania basi na maajabu ya kupukutika kwa washindi waliopokea ushindi wa uwongo na kuukubali na kufikia kuapa ,vifo vinavyofuatana vipo njiani na mbali ya vilivyokwisha anza juu waliotangazwa washindi, CCM mbele ya Mwenyezi Mungu hamna pa kukimbilia tuone kama hio tume itaweza kuwalinda na umauti ulioanza kuwaandama maana imewalinda msishindwe na kuwapa ushindi,ila kwa hili mtapukutika kama kuku wanavyokufa wakivamiwa na kideri.
Tatizo lenu ni kuwa,masikio yenu mumeyaandaa kusikia kile ambacho ninyi mnapenda kusikia,ukweli kama Huu kwenu ni mkuki uwakao moto
 
Unajua tumekuwa watu wa ajabu sanaaaa! Majirani zetu wanatudharau sanaaa! Haiwezekani tumepata Rais mzalendo, mwenye upendo na watu wake mwenye kuchukua hatua haraka sana dhidi ya ujinga Sisi gunatanguliza Ujinga mtu! Nini shida wapendwa?
 
Miccm mtakufa kama kuku wenye kideri,mtapukutika kuliko maelezo yaani kama ni maajabu ya korona Tanzania basi na maajabu ya kupukutika kwa washindi waliopokea ushindi wa uwongo na kuukubali na kufikia kuapa ,vifo vinavyofuatana vipo njiani na mbali ya vilivyokwisha anza juu waliotangazwa washindi, CCM mbele ya Mwenyezi Mungu hamna pa kukimbilia tuone kama hio tume itaweza kuwalinda na umauti ulioanza kuwaandama maana imewalinda msishindwe na kuwapa ushindi,ila kwa hili mtapukutika kama kuku wanavyokufa wakivamiwa na kideri.
Dua la kuku
 
Huyu le profu mwenye mawazo ya kale tangu aanze kusifu ajakumbukwa teuzi
 
Unajua tumekuwa watu wa ajabu sanaaaa! Majirani zetu wanatudharau sanaaa! Haiwezekani tumepata Rais mzalendo, mwenye upendo na watu wake mwenye kuchukua hatua haraka sana dhidi ya ujinga Sisi gunatanguliza Ujinga mtu! Nini shida wapendwa?

Mwenye upendo asomeshi namba
 
Hili baba juzi lilisema hakiyashiriki uchaguzi mwingine tena hadi kuwe na tumu huru ya uchaguzi...sasa leo tena..

Ukiwa na mizee 10 kama hii nchini aisee ni kazi ngumu mno kufikia malengo!! Inabadilika badilika tu kama homa za vipindi.
Kiwango chako cha chuki kimekuwa kikubwa mno
 
hapana, nawahurumia watanzania ambao wanageuzwa kama dagaa kwenye kikaangio na hawa wanasiasa - Siasa ndipo maisha ya watu yalipo, kucheza na siasa ni sawa na kuchezea maisha ya watu !!
 
Kwahiyo huruma yako kwa watanzania huzidi na hasira yako huwaka zaidi pale mtu anapompongeza Magufuli hadi unatumia maneno Kama "hili li baba...... Mizee kama hii" ?
 
Back
Top Bottom