Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
Umeona eeeh... aibuuu! sasa hivi anakwepa media baada ya ripoti ya TIFA RESEARCH iliyogundua kuwa kama kura zikipigwa leo (iliendesha kura ya maoni) matokeo ni haya:Hana jipya
Raila ana mvutoUmeona eeeh... aibuuu! sasa hivi anakwepa media baada ya ripoti ya TIFA RESEARCH iliyogundua kuwa kama kura zikipigwa leo (iliendesha kura ya maoni) matokeo ni haya...
Museveni mwenyewe homa imepanda maana haamini mbinu zote alizompa Ruto ili Raila asishinde zimefeli.Raila ana mvuto
Raila anabebwa na Uhuru, Mseveni ni tapeli na mjingaMuseveni mwenyewe homa imepanda maana haamini mbinu zote alizompa Ruto ili Raila asishinde zimefeli.
Mungu amuepushe na kifosijui kwa nini nahisi Raila atakufa kabla ya uchaguzi
Tayari Raila aliishaanza kureform Kenya ahead of time, kupitia Deep State aliishauri serikali mwaka 2017 (baada ya maridhiano yaliyoasisiwa na Magufuli kati ya Raila na Uhuru PHOTOS: Magufuli Unites Uhuru and Raila - Kenyans.co.ke) waondoe mfumo wa elimu wa 844 na kuzindua CBC (Competency Based Curriculum) ambayo kwa Tz tumei-adopt miaka 3 nyuma lakini hata walimu hawajapewa mafunzo yake kwa kukosa rasilimali fedha na kufanya matokeo kutokuwa mazuri. Hii ya Kenya iko hivi:Raila anabebwa na Uhuru, Mseveni ni tapeli na mjinga
Ukoo wa Jaramogi Oginga hawana makuu, hawana visasi, wanaogopa damu, wanapiga vita maonevu, wana maslahi ya taifa kwenye nyoyo zao, wana matokeo makubwa, hawana majivuno, hawapendi ukabila, ni Centre-Left-Wingers kwa mrengo wao, wanachukia umasikini, wana faraka/uadui na ufisadi, ni waumini wazuri (wana hofu ya Mungu) wa Anglikana.hata mm napendelea Odinga ashinde
Hakuna namna Odinga ndio kapewa nchi na wenye Kinya yao...sio wananchi bali mabwenyenye.Bora nchi wampe Ruto kuliko Odinga kwa Sababu Jamii ya kijaluo ingawa sio wote lakini Wana ubaguzi Sana Sana na Huwa wanajipenda wao tu.
Mano rais ma-jaluo mar 8 e dunia mangima. Jaluo ok tuk nyathi.Gini wakao...
Hii hainatofauti na kwetu jumlisha yote uoneTayari Raila aliishaanza kureform Kenya ahead of time, kupitia Deep State aliishauri serikali mwaka 2017 (baada ya maridhiano yaliyoasisiwa na Magufuli kati ya Raila na Uhuru PHOTOS: Magufuli Unites Uhuru and Raila - Kenyans.co.ke) waondoe mfumo wa elimu wa 844 na kuzindua CBC (Competency Based Curriculum) ambayo kwa Tz tumei-adopt miaka 3 nyuma lakini hata walimu hawajapewa mafunzo yake kwa kukosa rasilimali fedha na kufanya matokeo kutokuwa mazuri. Hii ya Kenya iko hivi:
Badala ya 844 sasa ni 233333
View attachment 2230481